• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Jiji la Dodoma latoa elimu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi wa kike

Imewekwa tarehe: March 8th, 2025

Na. Nancy Kivuyo, DODOMA

Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, walitoa mafunzo kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari Viwandani na Kikuyu ikiwa ni shamrashamra za kueleka kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha tarehe 08 Machi, 2025.

Akizungumza na wanafunzi wasichana kwenye shule hizo, Afisa Maendeleo ya Jamii, Dawati la Msaada wa Kisheria, Elizabeth Godwin alisema “tupo katika kuhakikisha binti anapata elimu kuhusiana na masuala ya ukatili wa kijinsia kwasababu tunaamini ya kwamba, binti anapofanyiwa ukatili wa kijinsia ndio tunapoteza ule uhalisia wa mwanamke ambae baadae ndio angekuja kuwa nguzo muhimu ya familia kama mlezi au mzazi mzuri. Tushukuru Mungu wanafunzi wameitikia wito wa elimu hii nzuri, wameonesha kuelewa juu ya elimu ya ukatili na mahali gani pa kuripoti”.

Nae Mratibu wa Elimu Kata ya Viwandani, Zaituni Mkoyi aliwaasa wasichana wanafunzi kuzingatia masomo ili waje kuwa mfano mzuri katika maisha yao ya sasa na ya baadae. “Hata sisi tulikua watoto kama ninyi, lakini tulisoma kwa bidii na kuchangamkia fursa mbalimbali ndio maana mnatuona leo hapa. Hata nyie mnaweza, msome kwa bidii, muwe watoto wasikivu, muwe na heshima kwa wazazi na wakubwa zenu na hakika mtafanikiwa” alisema Mkoyi.

Kwa upande mwingine, Mwanafunzi Conjesta Mwanika alisema kuwa amejifunza vitu vingi katika mafunzo hayo na anaamini atasoma kwa bidii na kufuata ushauri makini uliotolewa. “Nimejifunza vitu vingi sana leo, la kwanza tuzingatie masomo, tuwe na nidhamu, tuchangamkie fursa za kujishughulisha na kilimo cha vitalu, kufanya biashara ndogo ndogo ili kujikimu na kukwepa tamaa” alisema Mwanika.

Nae Mwanafunzi, Jenipha Mandela alishukuru kwa mafunzo hayo na kuahidi kusoma kwa bidii ili kuweza kufikia ndoto zake. Aliongeza kuwa amepata elimu kubwa juu ya masuala ya ukatili wa kijinsia na kusema “ukatili wa kijinsia unaweza kutuathiri kisaikolojia, hivyo tunapaswa kuripoti matendo mabaya kwa mwalimu wa Malezi au jirani ambae ni mshauri mzuri ili aweze kutusaidia katika kutatua tatizo hilo” alisema Mandela.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.