• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

JPM atunukiwa kwa mchango wake dhidi ya Corona

Imewekwa tarehe: August 14th, 2020

KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) limemtunuku Rais Dkt. John Magufuli tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake katika uongozi imara kwa Taifa na kwa imani kwa Mungu kwa jinsi alivyoliongoza Taifa kwa kumtegemea Mungu katika kipindi kigumu cha janga la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.

Tukio hili limefanyika leo kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Kanisa la TAG lililojumuisha Maaskofu na Wachungaji takribani 4,000 wa Kanisa hilo wa nchi nzima waliokutana katika ukumbi wa Chuo cha Biblia Miyuji Jijini Dodoma.

"Imetunukiwa kwa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutambua ufanisi katika kuliongoza Taifa na imani kwa Mungu katika kudhibiti mlipuko wa Corona nchini Tanzania mwaka 2020 kutoka kwa Baraza Kuu la Tanzania Assemblies of God" maneno alioyasema Askofu Mkuu Mtokambali akirejea maneno yaliyoandikwa kwenye tuzo hiyo.

Aidha, wakati akitoa shukrani zake kwa kupewa tuzo hiyo Rais Magufuli amewataka viongozi wa dini nchini kuwa mstari wa mbele katika kuliombea taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na amewaomba Watanzania kuacha kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani na wanasiasa wafanye siasa za kistaarabu.

Vilevile, Mheshimiwa Rais amelipongeza Kanisa hilo kwa huduma nzuri ya kiroho linayoitoa kwa waumini wake na kwa mchango wake katika utoaji wa huduma za kijamii kwa Watanzania bila ubaguzi. Mhe. Dkt. Magufuli ameahidi kuwa Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu ambao upo kwa mujibu wa katiba.

Kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, Askofu Mkuu Mtokambali ameiomba Serikali kuhakikisha Uchaguzi Mkuu ujao unakuwa huru na wa haki kama iliyokuwa huru na wazi michakato ya kuwapata wagombea wa vyama mbalimbali katika nafasi za uongozi kwenye vyama vyao.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli akiwa ameinua tuzo ya kutambua mchango wake wakati wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, mbele yake ni Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG Barnabas Mtokambali.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.