• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kanali Joseph Kolombo afungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Kamati za Usimamizi wa Maafa katika Wilaya ya Kibiti

Imewekwa tarehe: July 1st, 2024

KATIKA  kukabiliana na Maafa ndani ya Nchi kuanzia Ngazi za Kitaifa , Mkoa, Wilaya hadi Kitongoji  Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeendelea kutoa Elimu ya  kukabiliana na Maafa kwa Kamati Elekezi, na Kamati za Wataalamu , Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata katika kujiandaa, kuzuia, kukabili na kurejesha hali pale Maafa yanapotokea.

Akizungumza Tarehe 1 Julai, 2024 wakati wa Kufungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo juu ya Kupunguza Maafa kwa Kamati ya Usimamizi wa Maafa katika Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Joseph Kolombo amesema mafunzo yamekuja kwa muda muafaka na ni muhimu ambayo yatasaidia kuweza kuchukua hatua za mapema za kuzuia na kupunguza madhara yanapotokea.

"Niwapongeze wote mlioalikwa kuwa sehemu ya mafunzo haya ambayo ni muhimu kwani kupitia mada mbalimbali zitakazowasilishwa tutaongeza uelewa na ujuzi kwa shughuli za Usimamizi wa Maafa maana itasaidia kuzuia na kupunguza madhara na itakuwa na gharama nafuu kuliko kusubiri ili kuchukua hatua baada ya maafa kutokea ambapo Serikali imekuwa ikitumia gharama nyingi kukabiliana na maafa" . Alisema kanali Joseph.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Operesheni na Uratibu Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Luteni Kanali Selestine Masalamado amesema kuwa mafunzo haya ni muhimu ambapo yataweza kuongeza uelewa na ujuzi katika Shughuli za Usimamizi wa Maafa.

"Sote tunakubali kuwa matukio ya Maafa yanatokea na kusababisha madhara katika ngazi ya jamii ambapo Serikali za Mitaa kuanzia kitongoji , Mtaa au Kijiji na Jiji, manispaa zote zinawajibika moja kwa moja lakini sisi tunafurahi kukutana na nyie watendaji katika ngazi hii kwani mnalo jukumu la usimamizi wa maafa katika kujiandaa, kuzuia, kukabili na kurejesha hali," alisema Luteni Kanali Masalamado

Mafunzo haya ndani ya Wilaya ya kibiti Mkoani Pwani yameanza leo Tarehe 1. Julai 2024 na yanatarajia kumalizika Tarehe 5 Julai 2024.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.