MWENGE wa Uhuru 2024, Wilaya ya Dodoma utapokelewa tarehe 03 Julai, 2024 utakimbizwa umbali wa km 45. 9 utatembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi saba yenye thamani ya shilingi 7,096,668,714.32 ambayo ni:
Mradi wa Kituo cha vyombo vya Habari cha Dodoma Media Group
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitaweka Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Dodoma Media Group wenye gharama ya shilingi Bilioni 1,000,000,000.00
Mradi wa Bagamoyo garden wa Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitatembelea Mradi wa Bagamoyo garden wa Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira wenye gharama ya shilingi Milioni 25,700,000.00
Mradi wa ujenzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza (Dodoma English Medium)
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitazindua Mradi wa ujenzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza (Dodoma English Medium wenye gharama ya shilingi Milioni 458,047,800.00
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Ilazo
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitaweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Ilazo wenye gharama ya shilingi Bilioni 3,094,983,663.32
Mradi wa ujenzi wa barabara ya Judiciary kilomita 02
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitaweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi wa barabara ya Judiciary kilomita 02 wenye gharama ya shilingi Bilioni 2,409,187,951.00
Mradi wa TEMBEKEZA ENTERPRISES
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitatembelea Mradi wa TEMBEKEZA ENTERPRISES
wenye gharama ya shilingi Milioni 50,000,000.00
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Upimaji Nkuhungu
Mbio za Mwenge wa Uhuru, 2024 zitatembelea Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Upimaji Nkuhungu wenye gharama ya shilingi Milioni 50,000,000.00
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.