• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kilimo cha Zabibu ni ajira kwa vijana kujikwamua kiuchuumi

Imewekwa tarehe: March 28th, 2025

Na. Nancy Kivuyo,  MATUMBULU

Vijana wa Kata ya Matumbulu wameendelea kunufaika na fursa za mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu na kuweza kujikwamua kiuchumi.

 Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Kikundi cha Kaunda kinachojishughulisha na kilimo cha zabibu, Isack Benjamin alipokuwa akiongea na waandishi wa habari waliofanya media tour kufuatilia wanufaika wa mikopo hiyo katika kata ya matumbulu. 

 Benjamin alisema kuwa mikopo ya asilimia nne inayotolewa na  halmashauri imekua mkombozi kwa vijana wanaopenda kujishughulisha na kuingiza kipato ili kuboresha maisha yao. “Kikundi chetu kilipata mkopo wa shilingi milioni 20, ambapo tupo vijana watano. Tuliwekeza kwenye kilimo cha zabibu kwasababu tuna maeneo makubwa huku na kilimo cha zabibu kinakubali sana. Kiukweli, faida tuliiona, tunasomesha watoto, tunapata mahitaji muhimu na kubwa zaidi tumeweza kuongeza tena ekari tano ambazo kama mnavyoona tunalima tena zabibu” alisema Benjamin.

Nae Afisa Kilimo Kata ya Matumbulu, Aneth Mnana   alisema kuwa kata hiyo ina ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo. “Kata ina maji ya kumwagilia mboga mboga na mazao mengine ya muda mfupi. Hawa wakulima tunawapa elimu ya kutosha ili kufanya kilimo chenye tija. Ndio maana mnaona kwasasa wanatoa mazao mazuri sana. Nashauri wataalam wenzangu kuendelea kuwahudumia wananchi kwa weledi ili kilimo kiwe na tija kwa jamii zote kwa siku za usoni” alisema Mnana.

 Kwa upande wake mkulima Mussa Mlilima aliishukuru serikali kwa elimu ya kilimo kutoka kwa wataalam ambao wameletwa katika Kata ya Matumbulu na kuahidi kuendelea kufanya kilimo chenye tija ili kupata mazao bora. “Namshukuru sana Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza watumishi wa kila kada mpaka kwenye kata zetu. Namshukuru pia Mbunge wetu, Anthony Mavunde na Diwani, Emmanuel Chibago kwa jitihada zao katika kuhakikisha kata yetu inakua sehemu ya kilimo bora kwa zabibu na mazao mengine” alisema Mlilima.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma atoa pongezi kwa Madiwani

    May 25, 2025
  • Mkopo wa 10% tija kwa maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

    May 23, 2025
  • Mkopo wa 10% tija kwa maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

    May 23, 2025
  • Wananchi Kata ya Madukani washukuru kuboreshwa huduma za Afya, Zahanati ya Chikande

    May 21, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.