• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kongamano kuhamasisha wanawake kugombea nafasi za uongozi lafanyika Dodoma

Imewekwa tarehe: March 6th, 2025

Na. Nancy Kivuyo, DODOMA

Kongamano la kanda ya kati likihusisha mikoa ya Dodoma, Singida na Iringa lilifanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete huku kaulimbiu ikiwa ‘Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’.

Katika kongamano hilo, mada chokozi inayosema “Wanawake na Uongozi katika miaka 30 ya Beijing” iliandaliwa ambapo wanawake mashuhuri walialikwa kujadili mada na kutoa shuhuda mbalimbali za namna walivyoweza kufaulu katika harakati za kuwa viongozi na kushika nyadhifa mbambali nchini. 

Akizungumza na maelfu ya wanawake waliohudhuria katika kongamano hilo mgeni rasmi Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anna Makinda alisema “wanawake changamkieni fursa za uongozi kwasababu hata sisi tumekua mfano kwenu, angalieni mheshimiwa rais wetu ni mwanamke anaiongoza nchi hii bila hofu, nyie mnashindwa hata kugombea udiwani?. Akina mama amkeni, awamu hii tunaelekea kwenye uchaguzi hivyo tunawategemea uwakilishi kwenye ubunge, udiwani na nafasi zingine”.  

Nae Rhobi Maro aliyehudhuria kongamano hilo alisema alifurahi kuhudhuria na kwamba alipata maarifa mengi na uthubutu wa kufanya maamuzi. Aliongeza kuwa “naamini wanawake wengi watajitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao sababu uwezo huo wanao na natumai itakua hivyo”.


Kwa upande mwingine, Evelyn Alphonce alizungumza kuwa “siku ya leo imekua siku muhimu sana kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, nimefurahi kukutana na watu tofauti tofauti na kubadilishana nao mawazo, niseme tu nimehamasika”. 

Kongamano hilo lilihudhuriwa na wanawake wengi kutoka taasisi mbalimbali ikiwa ni shamrashamra za kujiandaa kuelekea kilele cha madhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kinachotarajiwa kufanyika kitaifa Machi 8 mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi atakua Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. 

MWISHO




Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.