• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Maafisa Tarafa watakiwa kutumia vizuri muda wa kazi - Xavier Daudi

Imewekwa tarehe: December 24th, 2022

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi amewataka Maafisa Tarafa 48 waliohudhuria mafunzo ya kujengewa uwezo kiutendaji, kuutumia vizuri muda wa kazi katika kuwahudumia wananchi kama ambavyo Serikali imekusudia.

Daudi ametoa wito huo kwa Maafisa Tarafa hao jijini Dodoma, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI ili waendane na kasi ya utendaji kazi ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Daudi amewataka Maafisa Tarafa kutotumia muda wa kazi katika mitandao ya kijamii wakati wana jukumu la msingi la kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi katika maeneo yao ya kazi.

Daudi ameongeza kuwa, ofisi yake imeshirikiana na TAMISEMI kuandaa mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji Maafisa Tarafa, kwa kutambua kuwa maafisa hao ni kiungo muhimu kati Serikali Kuu, Serikali za Mitaa na wananchi ambao ndio walengwa wakuu wa huduma zinazotolewa na Taasisi za Umma.

“Ninyi ni kiungo kikubwa cha kuiwezesha Serikali kutoa huduma bora kwa wananchi, hivyo ukisikia Serikali inalaumiwa kwa kutotoa huduma bora kwa wananchi au kupongezwa kwa kutoa huduma bora ninyi Maafisa Tarafa mnahusika, na ndio maana tumeamua kuwapatia mafunzo ili mkatekeleze majukumu yenu kikamilifu,” Daudi amefafanua.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI amewataka Maafisa Tarafa kusimamia nidhamu katika Utumishi wa Umma kwa ngazi ya tarafa kwani Sheria inamtambua Afisa Tarafa kuwa ni mwakilishi wa Afisa Tawala wa Wilaya kwenye ngazi ya tarafa ambapo moja ya jukumu la Afisa Tawala Wilaya ni kuhakikisha mamlaka zote za Serikali kwenye ngazi ya wilaya zinatimiza majukumu ya kiutumishi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo ya utumishi wa umma iliyopo.

Naye, Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Edith Rwiza amesema, mafunzo kwa Maafisa Tarafa hao yametolewa kwa siku mbili yakilenga kuwajengea uwezo kiutendaji

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.