• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Madereva wa Serikali wahimizwa kuendesha kwa ustadi, kulinda Usalama barabarani

Imewekwa tarehe: September 16th, 2025

Na. Sizah Kangalawe, DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewahimiza madereva wa Serikali kutumia vyema mafunzo waliyopatiwa katika kuboresha utendaji kazi wao na kuleta tija zaidi.

Alitoa maagizo hayo Septemba 04, 2025 jijini Dodoma wakati akifunga Kongamano la Nne la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. 

"Naamini mada mlizofundishwa hapa zitakwenda kuboresha uwezo wenu katika utendaji kazi na kuleta tija zaidi katika kuhakikisha mwajiri mkuu ananufaika na mafunzo mliyopata kupitia kongamano hili, na ninaamini kuwa kushiriki kwenu kutapelekea kuendesha magari kwa ustadi na kupunguza matukio ya ajali. Tutajua thamani ya abiria mliowabeba na kuendesha tukiwa tunawakinga na madhara, lakini pia mtajua thamani ya vitu mnavyobeba kupitia magari hayo ambayo mnatakiwa mvisafirishe kwa usalama,” alisema Senyamule.

Alifafanua kuwa madereva wa Serikali ni mhimili muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya Serikali kwani ndio wanaohakikisha usafiri wa viongozi na watumishi unakuwa salama, wenye ufanisi na unaoendana na hadhi ya Taifa la Tanzania.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, alisema Serikali imeboresha muundo mpya wa madereva ambao pia unasimamia maboresho ya mishahara na stahiki nyingine kwa madereva wa Tanzania Bara.

Kongamano hilo lililoandaliwa na CMST, limefanyika kwa siku tano ambapo lilianza Agosti 31 na limetamatika Septemba 04, 2025 huku likienda sambamba na kaulimbiu "Dereva wa Serikali, epuka ajali, linda gari lako na watumiaji wengine wa barabara, shiriki uchaguzi mkuu Oktoba 2025."

Chama cha Madereva wa Serikali kilianzishwa  mwaka 2013 na kusajiliwa Wizara ya Mambo ya Ndani mwaka 2015 kwa Na. ya Usajili S.A. 20314, ambapo hadi sasa kina jumla ya wanachama zaidi ya 3,500.

 



Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.