• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

MAFANIKIO YA MIAKA MIWILI YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN DIVISHENI YA KILIMO MJINI

Imewekwa tarehe: March 19th, 2023

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA


TAARIFA YA MAENDELEO YA KILIMO DIVISHENI YA KILIMO MJINI

  • UTANGULIZI

Halmashauri ya Jiji la Dodoma ina jumlaya kata 41 zinazojihusisha na shughuli za kilimo na mifugo.  Maafisa ugani wanaotua huduma kwa wakulima na wafugaji ni 80 ambapo 49 ni maafisa ugani mifugo, 28 ni maafisa ugani kilimo na watatu (3) ni maafisa uvuvi ambao baadhi wanafanya kazi ofisi kuu na walio wengi hufanya kazi katika kata.

  • MALENGO YA KILIMO


  • Malengo ya kilimo yanayotarajiwa kufikiwa Katika msimu wa kilimo 2022/2023, ni hekta 21,335 kwa mazao ya chakula, hekta 3,815 mazao jamii ya kunde, hekta 18,588 mazao ya biashara na hekta 484 za mazao ya mboga na matunda kama inavyoonekana katika jedwali hapa namba 2.


  • Jedwali Na. 2 MALENGO NA UTEKELEZAJI WA KILIMO KWA MSIMU WA 2022/2023

MALENGO

Mazao
Eneo litakalolimwa (Ha)
Tija
Matarajio ya mavuno (Tani)
MAZAO YA CHAKULA
MAZAO JAMII YA WANGA
Mtama
1,102
1.5
1,653
Uwele
17,314
1.3
25,971
Mahindi
515
1.5
773
Mpunga
19
2.5
48
Muhogo
876
6
5,390
Viazi vitamu
1,509
5
7,545
Jumla Ndogo
21,335
 
41,380
MAZAO JAMII YA MIKUNDE
Kunde
1,410
1.3
1,942
Njugu
2,405
1.8
4,329
Jumla Ndogo
3,815
 
6,271
MAZAO YA BIASHARA
Karanga
6,780
1.5
10,170
Alizeti
4,812
1.5
7,218
Zabibu
1,350
10
13,500
Jumla Ndogo
18,588
 
28,664
MBOGAMBOGA NA MATUNDA
Nyanya
225
20
4500
Karoti
27
10
270
Pilipili hoho
55
10
550
Vitunguu
65
20
1300
Tikiti
20
30
600
Papai
79
20
1580
Chinese
15
5
75
Jumla Ndogo
486
 
8875
JUMLA KUU
44,224
 
85,190


MAFANIKIO

  • Kutoa mafunzo ya njia bora za uzalishaji wa zabibu kwa wakulima 500 wa zabibu na maafisa ugani 25 walipata mafunzo yaliyotolewa na TARI-Makutopora, Aidha, maafisa ugani 3 waliwezeshwa kwenda nchini Afrika Kusini kuhudhuria mafunzo ya uzalishaji wa zabibu yaliyafadhiliwa na Halmahauri ya Jiji la Dodoma.
  • Uzalishaji wa miche bora ya zabibu ambapo jumla ya miche 44,506 ilizalishwa na  iligawiwa kwa wakulima bure
  • Ukarabati wa Bwawa la Ipala, hadi kufikia sasa kiasi cha shilingi 10,000,000 zimetumika kwa kazi hiyo na ukarabati unaendelea. Bwawa hili linauwezo wa kuhifadhi maji lita miioni 1.5
  • Kutoa mafunzo kwa wakulima kupitia maonesho ya wakulima Nanenane kwa wiki ya kuelekea siku ya wakulima Nanenane ambapo wakulima 1865 walipata elimu hiyo
  • Kuwezesha wakulima kupata mbegu za ruzuku za alizeti ambapo kiasi cha tani 35 ziliuzwa kwa msimu 2021/2022 na kiasi cha tani 5 zimeuzwa kwa wakulima msimu 2022/2023. Ruzuku hii ya mbegu za alizeti imesaidia kupungua kwa bei ya mafuta ya alizeti kutoka shilingi 9,000 kwa lita hadi shilingi 4,500 kwa lita.
  • Kuwezesha upatikanaji wa mbolea ya ruzuku kwa kuwasajili wakulima wapatao 10, 270 ambao wanaweza kupata mbolea hiyo ya ruzuku kwa wakala aliyesajiliwa kwa bei ya shilingi 70,000 badala ya shilingi 140,000.
  • Kuwezesha uanzishwaji wa mashamba darasa ya alizeti na karanga ambapo kwa msimu 2021/2022 mashamba darasa 30 yalianzishwa na msimu 2022/2023 mashamba darasa 35 yameanzishwa. Aidha, Halmashauri  imeanzisha shamba darasa la zabibu  katika kata ya msalato
  • Kampeni za kilimo zimefanyika na kuwafikia wakulima katika kata na mitaaa, idadi wa wakulima waliofikiwa wanakadiriwa kuwa 12200 ikilingaishwa na mwaka jana ambapo wakulima waliofikiwa wanakadiriwa kuwa 8300
  • Usambazaji wa viuatilifu ambapo kwa msimu wa kilimo 2021/2022 ofisi ilipokea lita 500 za sumu ya kuua kisumbufu cha mahindi (fall army worm)
  • Ofisi ilipokea vitendea kazi kwa maafisa ugani ikiwa ni seti ya makoti ya mvua, bomba la kupuliza sumu, gamboot kwa ajili ya kila afisa kilimo pamoja na pikipiki 25.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.