• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Robo Tatu ya wenye Magonjwa yasiyoambukiza hawajitambui

Imewekwa tarehe: November 7th, 2022

ZAIDI ya robo tatu ya watu wenye Magonjwa Yasiyoambukiza hususani Kisukari na shinikizo la damu hawajitambui kama wana magonjwa hayo endapo hawakwenda kupima katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

Hayo ameyasema leo na Mkurugenzi Msaidizi-Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe wakati akifungua mkutano mkuu wa kitaaluma wa chama cha Wafiziotherapia Jijini Mwanza.

"Eneo la kwanza la kutambua kama mtu ana Magonjwa Yasiyoambukiza kama shinikizo la juu la damu na kisukari ni kwa mfiziotherapia kisha anampeleka kwa Daktari." Amesema Dkt. Kilogwe

Dkt. Kiologwe amesema Mfiziotherapia nafasi yake inaonekana katika kuhakikisha ubora wa maisha unaimarika kwa wagonjwa wenye kisukari kwa kuhakikisha wanafanya mazoezi ya kutosha na kula kwa wakati unaostahili.

Pia, Dkt. Kiologwe amebainisha kuwa ongezeko la Vihatarishi vinavyopelekea uwepo wa Magonjwa haya ni kutoshughulisha mwili pamoja na ongezeko la ajali ambayo inahusisha mifupa mirefu (Mikono na Miguu).

"Kuna nafasi kubwa kwa Mwanamke ya kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza ambapo athari yake inakwenda hadi kizazi cha tatu kama ataepuka visababishi vya magonjwa hayo ikiwemo
Vilevi na matumizi ya tumbaku." Amesema Dkt. Kiologwe

Aidha, Dkt. Kiologwe ametoa wito kwa Wafiziotherapia hao kwamba, wanapoweka mikakati ya kudhibiti magonjwa hayo waiangalie jamii kwa upana wake pamoja na uwekezaji ili uweze kuwa na matokeo mazuri.

Hata hivyo, Dkt. Kiologwe amewahakikishia Wafiziotherapia hao kuwa maombi yao na changamoto zao amezichukua na kwenda kuzishughulikia kwa pamoja ili waweze kuendelea kutoa
huduma iliyo bora.

Kwa upande wake Rais wa chama cha Wafiziotherapia, Patrick Foster amesema baraza hilo limekuwa sehemu ya kuhamasisha na kutoa elimu katika jamii juu ya huduma za
Fiziotherapia zinazotolewa nchini.

"Pia, Chama cha wafiziotherapia kinaipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kuendelea kupanua wigo wa ajira katika sekta ya Afya kwa lengo la kuendelea kutoa huduma iliyo bora
kwa wananchi." Amesema Foster

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.