• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mahafali ya 16 MUHAS wahitimu 1,389 watunukiwa vyeti

Imewekwa tarehe: December 3rd, 2022

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango amewatunuku vyeti wahitimu elfu moja mia tatu themanini na tisa (1,389)wa ngazi mbalimbali katika chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi (MUHAS) huku kati yao wahitimu wa kike wakiwa ni mia tano hamsini natisa (559).

Wahitimu mia tatu sabini(370) wametunikiwa stashahada ya juu katika fani mbalimbali za afya na Sayansi shirikishi, wahitimu mia tano tisinina nne(594) wamepata shahada ya kwanza, wahitimu mia tatu na themanin na sita(386) wamepata shahada ya uzamili, wahitimu thelathini na mbili(32)wametunikiwa digrii za uzamini za Utaalam na watahiniwa wengine saba (7)wametunikiwa shahada za uzamivu wa udaktari wa falsafa.

Aidha, kuna wahitimu hamsini na tisa(59) wa program mpya kumi(10) za uzamini ambazo ni magonjwa ya damu na saratani za watoto, ufumbuzimagonjwa ya fahamu kwa njia ya mionzi, Upasuaji wa watoto, Magonjwa mahututi,Mzunguko wa damu katika upasuaji wa Moyo, Uuguzi katika fani yamagonjwa ya moyo, Uuguzi wa magonjwa wa Figo, Uuguzi wa wagonjwa wa saratani,Afya ya Jamii-sayansi ya utelekezaji, na Uchumi na Sera za Afya.

Kwa upande wake Profesa Andrea Pembe wakati akisoma hotuba katika mahafali hayo amesema kwamba Idadi ya wanafunzi kutoka mataifa ya nje wanaokuja kusoma katika chuo cha Muhimbili yameongezeka kwa asilimia 46.9 ukilinganisha na mwaka jana huku wanafunzi tisini na nne (94) kutoka nchi ishirini (20) wakichaguliwa kujiunga na Muhas mwaka huu huku akibainisha nchi hizo kuwa ni Botswana, Burundi , Cameroon, Comoro, DRC, Ghana, Rwanda, India,Kenya, Liberia, Malawi, Namibia, Uholanzi, Nigeria, Rwanda, Somalia, SudanKusini, Ustwatini, Uganda , Yemen na Zambia.

Ameongeza kwamba Uongozi wa chuo hicho unaishuruku Serikali ya awamu ya Sita kwa kutuma fedha za matumizi mengineyo pamoja na kuwalipa kwa wakati fedha za makato mbalimbali wafanyakazi wa chuo hicho.

Matangazo

  • Salamu za heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan January 27, 2023
  • Taarifa kwa Umma January 17, 2023
  • Salamu za heri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar January 12, 2023
  • Heri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar January 12, 2023
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Ni bajeti ya wafanyakazi – Katibu Gondwe

    January 19, 2023
  • Jiji lakadiria kukusanya Bilioni 128

    January 19, 2023
  • Vyama vya Siasa hamasisheni ulipaji kodi – Prof. Mwamfupe

    January 19, 2023
  • Jiji kinara kutenga fedha za lishe

    January 19, 2023
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.