• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Majaliwa aipa tano Fountain Gate kwa kutwaa ubingwa wa Afrika

Imewekwa tarehe: April 13th, 2023

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Mpira wa Miguu ya Wasichana ya Fountain Gate Dodoma kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Soka la Wanawake kwa Shule za Sekondari barani Afrika (CAF African School Football Championship) yaliyofanyika Afrika Kusini.

Majaliwa amesema ushindi wa timu hiyo ni heshima kwa Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amedhamiria kukuza na kuendeleza sekta michezo nchini.

Amesema hayo alipokutana nao ili kuwapongeza kwa kutwaa ubingwa huo baada ya kuzifunga shule kutoka nchi za Gambia, Afrika Kusini, Congo na Morocco.

Waziri Mkuu amesema kuwa Rais Dkt. Samia amekuwa na utaratibu wa kufanya kukutana na timu zinazoshiriki katika michuano mbalimbali ya kimataifa lengo likiwa ni kutoa hamasa na kutekeleza azma yake ya kuimarisha sekta ya michezo nchini

Akizungumza katika tukio hilo, Majaliwa ametoa wito kwa wamiliki wa shule binafsi waanzishe idara za michezo kwenye shule zao ili kutoa fursa kwa vijana kuonesha vipaji kwa kushiriki katika michezo mbalimbali kwani itasaidia kutoa mchango kwenye Taifa kupitia sekta ya michezo.

Kwa upande wake, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kabla ya timu hiyo kwenda Afrika Kusini kushiriki michuano hiyo, tayari ilishakuwa bingwa wa mashindano kwa upande wa CECAFA kwenye mashindano kama hayo.

Naye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Angela Kairuki amewapongeza wanafunzi hao kwa kuiwakilisha vema nchi kwenye michuano hiyo iliyoandaliwa kwa mara ya kwanza. "Wasichana wakiamua jambo lolote wanaweza, yapo mengi ambayo mnaweza kuyafikia."

Mbali ya kutwaa ubingwa huo, timu ya Fountain Gate pia ilitwaa tuzo tatu zikiwemo za golikipa bora, mchezaji bora na mfungaji bora wa mashindano hayo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.