• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Majaliwa: TANAPA, Wadau wa Utalii shirikianeni kuitangaza Rubondo

Imewekwa tarehe: October 15th, 2021

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ishirikiane na wadau wa masuala ya utalii ukiwemo uongozi wa kambi ya kupokea watalii ya Asilia kuitangaza hifadhi ya kisiwa cha Rubondo.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Oktoba 15, 2021) wakati akizungumza na baadhi ya watumishi wa TANAPA pamoja na wa kambi ya Asilia Rubondo akiwa katika ziara fupi ya kuhamasisha utalii katika hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, Geita.

Amesema ili sekta hiyo iweze kupata tija uongozi wa TANAPA unapaswa kuwa karibu na wadau wa masuala ya utalii. “Endeleeni kuwasikiliza na kushirikiana nao katika kutatua changamoto zinazowakabili ili kuongeza idadi ya watalii.”

Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa ameupongeza uongozi wa kampuni ya Asilia kwa uwekezaji wake katika sekta ya utalii nchini na ameusisitiza uendelee kupanua wigo ili kukuza sekta hiyo na kuongeza tija.

Hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo ina ukubwa wa kilometa za mraba 457, iko kaskazini magharibi mwa Tanzania ndani ya ziwa Victoria ziwa ambalo ni la pili kwa ukubwa duniani. Hifadhi hiyo inaundwa na visiwa vidogo 11 kikiwemo na kisiwa cha Ndege.

Kisiwa cha Rubondo ndilo eneo pekee katika ziwa Victoria lenye mazalia ya samaki yaliyohifadhiwa kisheria. Samaki wanaopatikana katika kisiwa hicho ni pamoja na Sato na Sangara ambao wanaweza kukua hadi kufikia uzito wa hadi kilo 100.

Fukwe za kisiwa hiki ni miongoni mwa makazi ya Pongo na Nzohe. Aidha hifadhi hii ni maskani makuu ya mamba, ndege na samaki kama Zumbuli, Chechele na Taisamaki, mbali na ndege hao kisiwa hiki ni makazi ya aina nyingine nyingi ya ndege wa majini na mimea kadhaa ambayo hutoa harufu nzuri ya kuvutia.

Wanyama wakazi wa hifadhi ya Rubondo ni pamoja na viboko, pongo, nzohe, fisi maji, mamba na pimbi wanashirikiana makazi na wanyama waliohamishiwa katika hifadhi hiyo kama sokwe, tembo, mbega weusi na weupe na twiga.

Pia, aina nyingine ya utalii inayofanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na uvuvi wa samaki wa kitalii (sport fishing).

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.