SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Mhe. Anne Makinda amezindua matumizi ya mfumo wa anwani za makazi leo Jijini Mwanza. Halfla iliyowashirikisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Robert Gabrielu pamoja na mamia ya wakazi wa Jiji la Mwanza.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.