• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mavunde akabidhi nyumba kwa watoto walioangukiwa nyumba Dodoma

Imewekwa tarehe: December 13th, 2024

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto Baraka Ijinji na Hamis Ijinji wa Mtaa wa Nguji,Mbabala Jijini Dodoma

ikiwa ni sehemu ya ahadi yake ya kuwajengea nyumba kufuatia kubomoka kwa nyumba yao ya awali iliyopelekea kifo cha Mama mzazi wa watoto hao.

Makabidhiano hayo yamefanyika mbele ya uongozi wa Kata na kusindikizwa na dua na maombi yalioongozwa na Viongozi wa Dini.

“Mtakumbuka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa mfulululizo wa miaka miwili imepelekea maafa makubwa ya kuharibu mali na kupoteza maisha ya baadhi ya wananchi.

Watoto hawa Hamis na Baraka walipatwa na kadhia hiyo ya kudondokewa na nyumba ambayo ilipoteza maisha ya mama yao na wao kuokolewa na wasamaria wema.

Niliahidi kuwajengea nyumba watoto hawa ili kuwasaidia kupata makazi yao ya kudumu,namshukuru Mungu leo nimekamilisha ahadi yangu na nimekabidhi nyumba hiyo.

Aidha, nitaendelea kuwasimamia kwa mahitaji yao muhimu kwa kadri Mungu atakavyoisaidia”Alisema Mavunde

Akishukuru kwa niaba,Mlezi wa watoto hao Mchungaji Lazaro Peter amemshukuru Mbunge Mavunde kwa kutimiza ahadi na kuwafariji watoto hao kwa kuwaboreshea makazi na kuahidi kuendelea kuwasimamia watoto hao katika malezi bora ili watimize ndoto zao.

Naye Diwani wa Kata ya Mbabala Mh. Paskazia Mayala amemshukuru Mbunge Mavunde kwa kuwa karibu na kuwajali watu wenye mahitaji kama alivyofanya kwa watoto na kumuomba kuendelea kuwagusa watu wenye mahitaji kadri Mwenyezi Mungu atakavyomjaalia.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.