• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mavunde aipongeza Mbeya kutenga mashamba makubwa ya kilimo cha soya

Imewekwa tarehe: June 20th, 2022

NAIBU WAZIRI wa Kilimo, Mh. Anthony Mavunde ameupongeza mkoa wa Mbeya chini ya uongozi wa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Juma Homera kwa kuchukua hatua ya uamzishwaji wa mashamba makubwa (Block farms) maalum kwa ajili ya kilimo cha maharage ya soya.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Wilayani Chunya alipotembelea na kukagua mashamba hayo na kufanya mikutano ya wananchi katika kata za Nkung’ungu na Lupa zilizopo tarafa ya Kipembawe, Chunya.

Ziara hiyo inatokana na maazimio ya kikao baina ya Wizara ya Kilimo na Kampuni ya Longping High Tech ya China ambayo ina lengo la kufanya uwekezaji wa zaidi ya bilioni 500 kwa ajili ya kilimo cha Soya na mahindi ya njano katika mikoa ya nyanda za juu kusini ambapo hitaji la msingi la awali ni upatikanaji wa ardhi ya kutosha kwa wakulima kulima mazao hayo.

“Uwekezaji huu ni matokeo ya kazi nzuri anayoifanya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuitangaza nchi yetu ya Tanzania huko duniani.

Niwapongeze sana Mkoa wa Mbeya chini ya uongozi wa RC Homera kwa utayari wenu wa kutenga ekari 100,000 za kilimo cha Soya ili kuchangamkia fursa hii iliyoletwa na Kampuni ya Longping High Tech ambao pamoja na huduma nyingine za kitaalamu pia wataleta mbegu bora, teknolojia bora na watakuwa soko la mazao ya wakulima.

Mkakati wa Wizara ni kuwa na mashamba makubwa 10,000 kama haya ifikapo mwaka 2030 katika kuelekea kuikuza sekta ya kilimo asilimia 10 ifikapo mwaka 2030, hii ni fursa kubwa ya vijana wengi kushiriki kwenye kilimo ili malengo haya ya nchi yaweze kutimia” Alisema Mavunde.

Akitoa maelezo ya awali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera ameipongeza wizara ya kilimo katika jitahada zake za kutengeneza fursa za kilimo biashara na kuahidi kuendelea kuandaa mashamba makubwa zaidi katika mkoa wa Mbeya ili kuongeza uzalishaji wa mazao na kukuza uchumi wa mkoa wa Mbeya.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.