• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mchakamchaka huimarisha afya na uzalendo- RC. Senyamule

Imewekwa tarehe: March 20th, 2024

WAKUU wa Shule za msingi Mkoa wa Dodoma, wametakiwa kuweka utaratibu kwa wanafunzi kukimbia mchaka mchaka asubuhi kabla ya masomo kwani zoezi hili lina faida nyingi ikiwemo kuimarisha afya ya akili, ukakamavu pamoja na uzalendo kupitia nyimbo zinazoimbwa wakati wa zoezi hilo.

Hayo yalibainishwa  na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule wakati wa uzinduzi wa Juma la wadau wa Elimu Mkoa wa Dodoma hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Dodoma iliyopo Jijini humo.

"Kupitia Juma hili, tutadhihirisha Dodoma tumeamua kufanya Mapinduzi kwenye Elimu. Nitoe maelekezo hapa, shule zote ziweke utaratibu kwa wanafunzi kukimbia mchaka mchaka kwani zoezi hili lina faida kubwa kwao kama vile kuimarisha afya ya akili, ukakamavu kupitia kukimbia pamoja na uzalendo kutoka na zile nyimbo zinazoimbwa" Alisema  Senyamule

Kadhalika, Mkuu wa Mkoa alizungumzia umuhimu wa michezo kwani Juma hili linakwenda sambamba na Bonanza la michezo mbalimbali kuelekea kilele chake Machi 24, 2024.

"Shirikisho la michezo Tanzania TFF limetoka mipira 1,000 ambayo nitaigawa leo kwenye Halmashauri zote za Mkoa wa Dodoma. Tutafuatilia kuhakikisha Mipira hii inatumika na sio kuwekea kabatini. Michezo ni afya kwani asilimia 30 ya wananchi wanakabiliwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na kukosa kushiriki michezo." Alisisitiza Senyamule.

Naye Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo, amesema Juma hili ni matokeo ya maagizo ya Mhe. Senyamule kwa wakuu wa Shule zote za Mkoa wa Dodoma kufanya vikao na wadau wa Elimu pamoja na wazazi ikiwani mkakati wa kuinua taaluma ambao pia umesaidia kupatikana kwa kauli mbiu ya Mkoa ambayo ni "Uwajibikaji wangu, ndio msingi wa kuinua ubora wa Elimu na ufaulu Dodoma" ambayo ndio inatumika pia kwenye Juma hilo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.