• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mfumo wa Ufundishaji mubashara mbioni kutumika nchi nzima

Imewekwa tarehe: July 28th, 2025

Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI

Waziri Mchengerwa ameeleza azma ya Serikari ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha Mfumo wa Ufundishaji Mubashara (live teaching) unaanza kutumika nchi nzima ili kumuwezesha mwalimu kutoka katika kituo kimoja kufundisha wanafunzi wengi kwa wakati mmoja wakiwa katika mikoa tofauti.

Azma hiyo ya Serikali imeelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa, alipofanya ziara ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibaha ambayo ina kituo (smart class) cha ufundishaji mubashara (live teaching).

Waziri Mchengerwa amesema, anatambua kuwa Kibaha Sekondari ni moja ya kituo kinachotegemewa kwa ajili ya ufundishaji mubashara kwani mwalimu anaweza kufundisha akiwa Kibaha Sekondari na wanafunzi nchi nzima wakaudhuria kipindi chake.

“Kibaha Sekondari ni lazima muendelee kutumia Mfumo wa Ufundishaji Mubashara kwani niliuzindua mwenyewe jijini Dodoma kwa kuiunganisha Kibaha Sekondari na Dodoma Sekondari na tulijionea namna mfumo unavyofanya kazi na sasa tunataka uende nchi nzima,” Mhe. Mchengerwa alisisitiza.

Sanjari na hiyo, Mhe. Mchengerwa amempongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha Dkt. Rogers Shemwelekwa kwa kuhimiza matumizi ya Mfumo wa Ufundishaji Mubashara katika Shule ya Sekondari Kibaha na kumtaka aendelee kuiwezesha shule hiyo kuwa kituo cha mfano cha ufundishaji mubashara nchini, kwani wakati akiwa Shirika la Elimu Kibaha aliwezesha mfumo huo kufanya kazi.


Waziri Mchengerwa amefafanua kuwa, iwapo miundombinu ya elimu itaendelea kuboreshwa katika Shule ya Sekondari Kibaha, hapo baadae kuna uwezekano Serikali ikafikiria kujenga chuo kikuu katika eneo hilo hilo ambalo shule hiyo ipo ili kutimiza lengo la Rais Samia la kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu.


Aidha, Waziri Mchengerwa amempongeza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibaha Bw. George Kazi kwa kazi nzuri anayoifanya na kumtaka aendelee kuhakikisha wanafunzi wa kidato cha nne na cha sita wanaendeleza utamaduni wa kupata ufaulu mzuri, na kuongeza kuwa akishindwa kutekeleza jukumu hilo atawajibishwa.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • ACTIF 2025 Itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji- Majaliwa

    July 30, 2025
  • Serikali yaongeza mashine mpya tatu za Tiba mionzi

    July 29, 2025
  • Mfumo wa Ufundishaji mubashara mbioni kutumika nchi nzima

    July 28, 2025
  • Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati aikabidhi Taasisi ya Benjamin Mkapa hundi ya shilingi mil. 200

    July 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.