WATANZANIA leo tarehe 26 Aprili, 2021 wameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo tarehe kama hii mwaka 1964 ndipo ulipozaliwa Muungano wa mataifa hayo mawili chini ya waasisi wake Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Sheik Abeid Amani Karume.
Tunapoadhimisha siku hii adhimu kwa taifa la Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari amewaachia huru zaidi ya wafungwa 5,000.
Chanzo: Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.