• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mifumo imesaidia kuleta uwazi, uwajibikaji na udhibiti wa matumizi ya fedha

Imewekwa tarehe: July 11th, 2024

Naibu katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amesema Mifumo mbalimbali inayoanzishawa na Serikali imekuwa na mchango mkubwa katika kuleta Uwazi, Uwajibikaji na Udhibiti wa matumizi ya Fedha za umma na kusaidia katika upangaji wa Bajeti na utoaji wa taarifa kwa uwazi.

Dkt.Msonde amesema hayo leo Julai 10, 2024 wakati akifungua wa Mkutano wa Upangaji Mipango Pamoja wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za umma Awamu ya Pili yaani USAID public sector systems strengthening plus (USAID PS3+) uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

Amesema Mradi wa PS3+ Umeshirikiana na Serikali katika usimamizi na utoaji wa huduma mbalimbali, akitolea mfano huduma za Mifumo inayoanzishwa ili kurahisisha shughuli za Serikali ambazo zimewezesha wananchi kupata huduma mbalimbali kama vile za Afya na Elimu.

Ametaja baadhi ya mifumo kuwa ni mfumo wa Kihasibu na Utoaji wa Taarifa za Fedha katika Ngazi za Msingi (FacilityFinancial Accounting and Reporting System – FFARS) ambao umewezeshwa kutumika katika ngazi ya shule za Sekondari na Msingi, vituo vya kutolea Huduma za afya, Kata, Vijiji na Mitaa ili kuleta uwazi, uwajibikaji na kudhibiti matumizi ya fedha katika ngazi za msingi za Mamlaka za Serikali za Mitaa, Mfumo wa uandaaji mipango na bajeti(PlanRep), Mfumo wa Ukusanyaji Mapato -TAUSI, Mufumo wa Ulipaji Serikalini -MUSE pamoja na Tovuti za Mikoa and Halmashauri (GWF).

Aidha Dkt Msonde amewaelekeza wajumbe wa mkutano huo kutumia kutumia fursa hii muhimu kwaajili ya kuangalia mafanikio na changamoto zilizojitokeza ktk utekelezaji wa Mradi na kuweka mikakati ya kutatua changamoto ili kuweza kufanikisha mradi.

Naye Mkuu wa Timu ya Uboreshaji Mifumo kutoka Shirika la USAID Tanzania Bw. Godfrey Nyombi, amesema kuwa Mifumo hii inatumika kwa shughuli za kila siku kama vile usimamizi wa fedha, Mipango, taarifa, mawasiliano kwa wananchi na inasomana na mifumo mingine hivyo kurahisisha shughuli za kimaendeleo. @usaid

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.