• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Miradi ya TASAF na Afya ikamilike kwa wakati - Mhe. Mhagama

Imewekwa tarehe: February 22nd, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewaelekeza viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza kusimamia ukamilishaji wa miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ya afya na elimu ili itoe michango katika maendeleo ya taifa.

Mhagama ametoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti katika Wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Mwanza.

Mhagama  hukuna sababu ya kusuasua katika ukamilishaji wa miradi hiyo ya afya na elimu kwa kuwa ni miradi muhimu sana na ikizingatiwa kuwa fedha yote ya ujenzi wa miradi hiyo ilishatengwa na kutolewa na Serikali ya Awamu ya Sita.

Mhagama amesisitiza usimamizi mzuri wa miradi hiyo ya afya na elimu ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia TASAF ametoa fedha nyingi ili iwanufaishe walengwa na kuboresha utoaji wa huduma katika sekta hizo muhimu kwa jamii.

Mhagama amesema miradi yote ya elimu inayotekelezwa na TASAF itasaidia sana kuandaa rasilimaliwatu itakayoendeleza kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita ya kuleta maendeleo chanya kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

“Shule hizi zinazojengwa kama zitatoa elimu bora kwa wanafunzi na wakapata ufaulu mzuri, nina hakika watakuwa ndio madaktari, walimu, wahandisi, wabunge, wakuu wa wilaya na viongozi wa vyama vya siasa wajao na kuongeza kuwa TASAF inandaa rasilimaliwatu ya kesho itakayokuwa na tija kwa maendeleo ya taifa,” Mhagama amesisitiza.

Akizungumzia faida ya miradi ya afya inayotekelezwa na TASAF, Mhagama amesema miradi hiyo ikikamilika itatoa huduma bora za afya kwa watumishi wa umma na wananchi ili waweze kuwa na afya bora inayowawezesha kushiriki shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazowawezesha kutoa mchango katika maendeleo ya taifa.

“Tukiwa na afya njema, tutashiriki vizuri shughuli mbalimbali za kiuchumi na hatimaye

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.