• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mkoa wa Dodoma kuja na Mpango Mkakati wa kukuza na kutangaza Utalii wa Ndani

Imewekwa tarehe: July 14th, 2025

Na. Hellen Minja, DODOMA RS

Utalii unatajwa kuwa na athari chanya za kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na Mkoa kwa ujumla pale unapotumika kimkakati. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amebainisha hayo alipokua akifungua kikao Maalumu cha Maandalizi ya uzinduzi wa Kitabu cha Mpango Mkakati wa Kukuza na Kutangaza Utalii wa Mkoa huu.

Kikao hicho kimewahusisha wadau wa utalii kutoka sekta mbalimbali waliokutana kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma jijini hapa lengo likiwa ni kupitia Mpango Mkakati ulioandaliwa sambamba na kuunda Kamati itakayoshughulikia kwa karibu ufanikishaji wa shughuli hiyo.

“Utalii una athari nyingi za kiuchumi kama ukiwa nao maana utakuza uchumi wa mtu mmoja mmoja lakini pia wa Mkoa. Dodoma tunatamani tuwe ‘hub’ ya utalii kwa sababu tunafikika kila upande wa nchi ya Tanzania hata kama vivutio vya utalii havipo Dodoma tunataka iwe active kwenye suala la utalii” Senyamule.

Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Tawala Msaidizi Sekta za Viwanda, Biashara na Uwekezaji  Mwajabu Nyamkomora, amesema uwekezaji uliofanywa na Serikali katika miundombinu, utasaidia kuhabarisha umma juu ya maeneo yenye fursa za uwekezaji kwenye Utalii ambapo Mpango Mkakati huo pia, utafungua sura kwa wanadodoma na Watanzania kutambua fursa zilizopo.

Kadhalika, Nyamkomora aliwapitisha Wajumbe kwenye maudhui yaliyomo ndani ya Kitabu hicho kilichoshiba taarifa za vivutio adhimu vya Utalii vinavyopatikana katika Halmashauri za Mkao wa Dodoma ambavyo vingi havijulikani kama vinapatikana Mkoani hapa.

Kitabu cha Mpango Mkakati wa kukuza na kutangaza Utalii Mkoa wa Dodoma kinatarajiwa kuufungua mkoa huu kwa vivutio vya Utalii ambapo Sekta hiyo ni moja ya vipaumbele vya Serikali ya Mkoa katika kuinua uchumi wa Wananchi na wa Mkoa kwa ujumla, kitabu hicho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi kwenye hafla itakayofanyika Agosti 04, 2025 katika Ukumbi wa Mabele jijini hapa.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Shekimweri: Maafisa tarafa na Watendaji wa kata zingatieni Maadili na Uwajibikaji

    July 23, 2025
  • Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, Ukimwi na Malaria nchini

    July 22, 2025
  • Ushirikiano kati ya tanzania na canada waipaisha sekta ya afya

    July 21, 2025
  • Vifaa vya kupima maji vitumike mara baada ya mafunzo

    July 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.