• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mkurugenzi wa Jiji awatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wafanykazi

Imewekwa tarehe: January 26th, 2025

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko amewatakia heri ya mwaka mpya 2025 wafanyakazi wote katika Bonanza kubwa michezo katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Akifungua bonanza hilo lililoandaliwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kuwakutanisha wafanyakazi na kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025, Mkurugenzi wa Jiji alisema kuwa michezo inalenga kuwakutanisha wafanyakazi na kuwakumbusha kuwa ni wamoja na wanatakiwa kufanya kazi kwa upendo na kushirikiana.

Akiongelea umuhimu wa michezo katika kujenga urafiki na umoja alisema kuwa hilo halina mjadala. “Karibu sana katika uwanja wa Jamhuri. Tumekutana hapa taasisi zaidi ya moja katika uwanja huu lakini wote lengo letu ni moja la michezo kwa afya zetu. Ushauri wangu Dodoma Jiji wenye ratiba wakutane na Ofisi ya Rais, Ikulu ‘kuharmonise’ ratiba ili tuona tutakavyoshirikiano pamoja. Heri ya Mwaka mpya 2025” alisema Dkt. Sagamiko.

Kwa upande wake Mwl. Sylvia Madeje kutoka shule ya Sekondari Chinangali alimpongeza mkurugenzi wa jiji na timu yake kwa kuandaa bonanza hilo kubwa la michezo kwa wafanyakazi. “Michezo inadumisha ushirikiano kwa wafanyakazi, kuongeza ufanisi kwa sababu pamoja na michezo tunabadilishana mawazo na kuimarisha ari ya utendaji wa kazi” alisema Madeje.

Bonanza kubwa la michezo la wafanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma lilitanguliwa na mbio za polepole (jogging) zilizoanzia Ofisi kuu ya Jiji zikiongozwa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kuelekea uwanja wa michezo wa Jamhuri kuanzia saa 12.30 alfajiri.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.