• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

MKUU WA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII DAR ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA UPOTEVU WA FEDHA

Imewekwa tarehe: January 6th, 2026

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Dar es Salaam amesimamishwa kazi kwa agizo la Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Prof. Riziki Shemdoe, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kukopesha fedha za Umma kinyume na taratibu, ikiwemo upotevu wa fedha hizo.

Agizo hilo limeekezwa kwa Katibu Mkuu OWM – TAMISEMI wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya kikazi ya Mhe. Kwagilwa mkoani Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa Bi. Fransisca Makoye alihusika kuruhusu mikopo isiyo na ufuatiliaji sahihi na pia alihusishwa na tukio la kikundi kilichopewa gari kwa mkopo kuamua kuliuza bila ridhaa ya mamlaka.

“Kikundi kilipewa gari kwa mkopo, lakini gari hilo limeuzwa wakati nyaraka zote ziko kwa maafisa wa Serikali hili halikubaliki, natoa maelekezo afisa huyu asimamishwe kazi mara moja kupisha uchunguzi,” Amesema Mhe. Kwagilwa.

Katika hatua nyingine ya kuimarisha uwajibikaji, Mhe. Kwagilwa ameelekeza Wakuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Manispaa Kigamboni na Ubungo kurejeshwa kazini kutoka likizo ili watoe maelezo ya kina kuhusu fedha za mikopo ya asilimia 10 kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu.

Aidha, ameagiza aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Temeke atafutwe na arejeshwe kazini kusaidia uchunguzi wa upotevu wa fedha za mikopo ya asilimia 10 katika Halmashauri ya Manispaa hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA ORODHA YA WADAIWA WA MALIPO YA VIWANJA AWAMU YA KWANZA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA December 29, 2025
  • Tangazo na Orodha ya Walioitwa kwenye mafunzo ya Wasimamizi, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba October 23, 2025
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Tumetekeleza vizuri mkataba wa lishe 2024/2025

    January 23, 2026
  • Maaafisa utumishi acheni uonevu na kutumia lugha mbaya mnapotoa huduma- Prof Shemdoe

    January 20, 2026
  • Nitazunguka nchi nzima kuteta na watumishi wa afya ngazi ya msingi - Dkt. SEIF

    January 18, 2026
  • Afya ni kada ya huruna Dkt.Seif atoa wito kwa wanafunzi Mafinga

    January 18, 2026
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto 4d
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88