Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) imepokea mabomba 471 kwa ajili ya kukamilisha mradi wa maji wa Ihumwa - Njedengwa na mengine kwa ajili ya matengenezo na maboresho kwenye maeneo yenye changamoto.
Mradi wa Ihumwa - Njedengwa unatarajiwa kukamilika mwisho wa mwezi huu Oktoba 2021 na utahudumia maeneo ya Ihumwa, Njedengwa, Mwangaza, Kisasa Nyumba 300, FFU, Nzuguni, Stendi Kuu na Soko la Job Ndugai.
Chanzo: @duwasatz (instagram)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.