• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Mratibu wa CHF iliyoboreshwa Mkoa ataja mikakati kuwafikia wananchi

Imewekwa tarehe: May 22nd, 2020

Mikakati ya kufikisha elimu juu ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF iliyoboreshwa) kwa wananchi imetajwa na kuwekwa wazi kwa wananchi wote wa mkoa wa Dodoma.

Hayo yalisemwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii wa Mkoa wa Dodoma Daktari Francis Lutalala alipokuwa akizungumza wiki iliyopita mbele ya waandishi wa habari mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge kuzindua kampeni ya Uhamasishaji wa CHF iliyoboreshwa kwa kipindi cha mwezi Mei hadi Agosti 2020.

Dkt. Lutalala alisema kuwa katika kipindi hiki cha mavuno mkoani Dodoma, kutakuwa na kampeni maalum kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF iliyoboreshwa) tukiamini kuwa baada ya wakulima kupata mvua ya kutosha na mavuno kuwa mazuri, basi itakuwa rahisi wananchi kulipia gharama ya shilingi 30,000 (elfu thelathini) tu kwa kaya yenye watu sita.

Mikakati itakayotumika kuwafikia wananchi ni pamoja na kutumia vyombo vya habari kama redio, mitandao ya kijamii (instagram, facebook, whatspp, tovuti, blog), magazeti na kadharika kwa lengo la kufikisha elimu ihusuyo wananchi kujiunga na CHF iliboreshwa.

Aidha, watashirikishwa viongozi wa dini ambapo elimu itatolewa kwenye nyumba za ibada na baada ya ibada wananchi watapata nafasi ya kujiandikisha. "Tunashukuru kwa kuwa tayari viongozi wa dini mbalimbali wametuahidi kutupa ushirikiano kufanikisha zoezi hili," alisema Dkt. Lutalala.

Akielezea zaidi Mratibu huyo alisema kuwa mkakati mwingine ni kufika kwenye maeneo ya mikusanyiko wa watu kwenye huduma za kijamii kama vile masoko, stendi, minada na kadharika.

Akifafanua zaidi Dkt. Lutalala alibainisha kuwa, "Vile vile tutafika vijijini na kupita nyumba kwa nyumba ambapo maafisa waandikishaji watakuwa wakitoa elimu pamoja na kuandikisha au kuwasajili wanachama".

Vile viel kutakuwepo na magari ya matangazo yatakayopita mitaani kutoa elimu ya CHF iliyoboreshwa sambamba na elimu dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.





Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.