• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Msanii Diamond Platnumz atembelea mashamba ya Zabibu Dodoma; aahidi kuitangaza zabibu Kimataifa

Imewekwa tarehe: August 10th, 2019

Msanii Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz wakati wa maonesho ya Nanenane yakiendelea alifanya ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa kutembelea mashamba ya zabibu Jijini Dodoma na kuwataka Watanzania kujenga utamaduni wa kutembelea vivutio vya Utalii ndani ya nchi ili kukuza sekta hiyo hapa nchini.

Diamond aliyasema hayo katika kijiji cha Nkhulabi, Kata ya Mpunguzi alipotembelea mashamba ya zabibu na kujionea shughuli za uzalishaji mvinyo katika kiwanda cha usindikaji mvinyo cha Dane Holdings Co. Ltd kinachomilikiwa na Eng. Danford Semwenda.

"Najisikia furaha kutangaza mema ya nchi yangu na hasa zabibu za Dodoma kwa kuwa ndio eneo lenye zabibu zenye ubora wa juu sana duniani. Nitatumia sanaa yangu kuhakikisha nashirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kwa kuifanya dunia kujua utajiri wa vivutio vya utalii Mungu alivyotujalia" alisema Diamond.

Aidha, mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini  Mhe. Anthony Mavunde na Mbunge wa Jimbo la Mtela Mhe. Livingstone Lusinde ambao waliandamana na msanii huyo, kwa pamoja wamewataka wananchi wa Dodoma kulichangamkia zao la zabibu kwa kulima kwa wingi kwa kuwa muda sio mrefu mahitaji ya zabibu yatakuwa makubwa hasa kutokana na Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli kushusha tozo ya mchuzi wa zabibu kutoka Tsh 3,315 mpaka Tsh 450 tu, wabunge hao walimshukuru Diamond kwa kuamua kuitangaza zabibu ya Dodoma kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Akieleza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mkuu wa Wilaya wa Bahi Mhe. Mwanahamis Mukunda amempongeza msanii Diamond kwa kuwa mfano kwa wasanii wengine katika kutangaza vivutio vya utalii nchini na kumuomba mwanamuziki huyo kushirikiana na uongozi wa serikali ya Mkoa wa Dodoma kwa kulitangaza Tamasha la Mvinyo (Wine Festival 2019) kwa kuwa mkoa wa Dodoma umejipanga kurudisha heshima ya zao la zabibu.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.