HOSPITALI ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lakini kila mtoto ana ini lake), upasuaji huo unategemewa kufanyika kesho tarehe 1 Julai, 2022 kwa saa 6 hadi 7. Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji huu baada ya Afrika ya Kusini na Misri.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.