Mwanzilishi wa Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel (pichani juu mwanye miwani) ametembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa kuangalia maendeleo ya vifaa tiba vilivyotolewa kama msaada na Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Ubalozi wa Kuwait na pia kuona kama kuna changamoto zozote ili waweze kusaidia.
Vifaa hivyo vilitolewa mwaka 2008 kwa ajili ya kusaidia kuanzishwa kwa huduma ya Watoto Njiti wanaozaliwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa. Vifaa hivyo viligharimu dola za Marekani elfu ishirini (20,000 USD).
Chanzo: benjamin_mkapa_hospital (instagram)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.