• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Naibu Waziri Mavunde azibana taasisi za fedha kuwapa wakulima mikopo kwa wakati

Imewekwa tarehe: January 29th, 2022

NAIBU WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde amezitaka Taasisi za fedha nchini kutoa mikopo kwa wakati na kwa kuendana na misimu ya kilimo ili mkopo unaotolewa uweze kukidhi dhumuni husika.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana tarehe 28 Januari, 2022 alipokuwa Kilombero Mkoani Morogoro kushiriki kikao cha viongozi wa vyama vya ushirika wa miwa na Taasisi za fedha.

"Mabenki jitahidini kuendana na msimu au kalenda ya kilimo ili mikopo yenu iweze kutoka kwa wakati na kuwa na tija kwa wakulima wetu. Ninawashauri na kuwaomba muende mkajitafakari na kuja na mfumo wa utoaji mikopo utakaorahisisha huduma, kupunguza muda wa uchakataji na kuongeza tija kwa wakulima.

Lengo la kikao hichi ni kujadiliana kwa uwazi njia rahisi za kumkopesha mkulima wa Tanzania pasipo kuathiri masharti ya kibenki, mfumo wa makubaliano ya utatu (Tripartite Agreement) kati ya Mkulima, Mwenye kiwanda (Mnunuzi) na Benki (Mkopeshaji) umerahisisha sana upatikanaji wa mikopo kwa wakulima tofauti na ule wenye hitaji la dhamana ya mkopo” Alisema Mavunde.

Akitoa salamu za wananchi wa Majimbo ya Mikumi na Kilombero, kwa niaba ya Mbunge Abubakar Asenga wa Kilombero, Mbunge wa Jimbo la Mikumi Mh. Dennis Londo ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa utatuzi wa changamoto za wakulima wa Bonde la Kilombero ikiwemo kuanza kwa taratibu za awali za ujenzi wa daraja la Bonde la Mto Ruhembe ambalo lilikuwa kikwazo katika usafirishaji wa malighafi ya miwa kwenda katika kiwanda cha Sukari cha Kilombero.

Wakati huo huo viongozi wa vyama vya ushirika wamepongeza kitendo cha Serikali kuja na mfumo wa kupanga maeneo ya uvunaji kwa zone (Zoning) ambao umeondoa kero kubwa iliyokuwa inawakumba wakulima wa Kilombero. Hali hiyo ilipelekea Mhe. Mavunde kuielekeza Bodi ya Sukari Tanzania kwa kushirikiana na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Taifa kuhakikisha maeneo yote yenye wakulima wadogo wa miwa yanapangwa kwa kutumia mfumo huo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.