Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko akikabidhi hundi za fedha zilizotokana na NBC Dodoma Marathon 2025 ambapo kiasi cha Tsh mil 200 kilikabidhiwa kwa taasisi ya Benjamini Mkapa ili kupanua ufadhili wa wakunga hadi kufikia wakunga 200,
Fedha kiasi cha sh mil 100 kilikabidhiwa kwa taasisi ya Ocean Road ili kuendeleza mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na kiasi cha mil 100 kilikabidhiwa kwa taasisi ya AMREF Health Africa kwa ajili ya watoto wenye changamoto za usonji (autism) nchini.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.