• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Nawashukuru wadau walioiunga mkono serikali kuokoa wahanga Kariakoo- Mhe. Majaliwa

Imewekwa tarehe: November 19th, 2024

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru wadau wote pamoja na wananchi waliojitokeza kuunga mkono jitihada za Serikali za kuwaokoa wahanga wa jengo la ghorofa nne lililoanguka katika Mtaa wa Mchikichi na Manyema uliopo Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Mhe. Majaliwa ametoa shukrani hizo leo alipolitembelea jengo hilo lilianguka Novemba 16, 2024 kwa lengo la kujiridhisha na zoezi la ukoaji linaloendelea, ambalo linaongozwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi waliojitolea.

“Nawashukuru wadau wote wa sekta binafsi na sekta za umma pamoja na wananchi walioiunga Serikali mkono katika zoezi la kuwaokoa wahanga wa ajali hii kwa kujitolea vifaa mbalimbali, mitambo, magari na wataalam ambao wanashiriki katika zoezi la uokoaji linaloendelea,” Mhe. Majaliwa amesisitiza.

Mhe. Majaliwa amesema, wakati Serikali ikiendelea kujiimarisha katika idara ya maafa na uokozi kuna umuhimu wa kuendelea kushirikiana katika jambo la dhalura kama hili la ghorofa kuanguka kwa ghorofa, kwani jambo hili si la Serikali pekee bali ni la watanzania wote.

“Tunakiri kwamba mchango wa wadau na wananchi ni mkubwa na umesaidia kuokoa wenzetu 84 ambao ni wahanga wa tukio hili na ninawahakikishia watanzania kuwa, zoezi la uokoaji linaendelea mpaka tutakapojiridhisha kwamba wote waliopo ndani ya jengo hili wameokolewa wakiwa hai au tumewapoteza kwa mapenzi ya Mungu,” Mhe. Majaliwa ameeleza.

Sanjali na hilo, Mhe. Majaliwa amewashukuru wafanyabiashara wa Kariakoo kwa utulivu wao wakati huu ambao zoezi la uokoaji likiendelea na amewataka kuendelea kuwa watulivu ili kutoa fursa kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuendelea kutimiza jukumu la uokoaji wa wahanga ambao bado wapo katika jengo hilo lililoanguka.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.