• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Nchemba afanya kikao na Mwenyekiti mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini

Imewekwa tarehe: November 7th, 2022

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amefanya kikao na Mwenyekiti Mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini, Zlatan Milisic, kuhusu ushirikiano wa maendeleo na maandalizi ya mkutano kati ya Serikali na washirika hao utakaofanyika hivi karibuni.

Dkt. Nchemba amefanya kikao hicho jijini Dodoma na Mwenyekiti Mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini,Zlatan Milisic, ambapo ajenda mbalimbali za mkutano huo ziliangaziwa.

Alisema kuwa miongoni mwa ajenda zitakazojadiliwa katika mkutano huo utakaofanyika hivi karibuni ni pamoja na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji, ajira kwa vijana, kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kilimo.Ajenda nyingine ni kukuza uchumi, uhifadhi wa chakula, nishati kwa wote, uwezeshaji wa wanawake na utaratibu wa ushirikiano katika masuala ya kifedha katika utekelezaji wa miradi yamaendeleo.

"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa dira ya kukuza uchumi kwa kuwaleta wawekezaji na kuweka mazingira bora ya uwekezaji na biashara jambo ambalo pia linaendelea kutekelezwa kupitia wadau wa maendeleo", alisema Dkt. Nchemba.

"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa dira ya kukuza uchumi kwa kuwaleta wawekezaji na kuweka mazingira bora ya uwekezaji na biashara jambo ambalo pia linaendelea kutekelezwa kupitia wadau wa maendeleo", alielezea Dkt. Nchemba.

Alisema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango itaratibu ushiriki wa Wizara nyingine za kisekta kushiriki kikamilifu katika mkutano huo ili kuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili.

Kwa upande wake Mwenyekiti Mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini, Zlatan Milisic, alisema washirika wa maendeleo wataendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika majadiliano yanayohamasisha maendeleo ya wananchi katika kukuza mitaji, ajira na pia uwezeshaji wa wanawake.

Wadau wa maendeleo wameahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika masuala mbalimbali na kushiriki katika ukuzaji wa uchumi kwa manufaa ya pande zote.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.