• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Shirika la Nyumba laanza kujenga nyumba 1000 Dodoma

Imewekwa tarehe: May 5th, 2021

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza mradi mkuwa wa ujenzi wa nyumba 1,000 mkoani Dodoma ambazo zinatarajiwa kukamilika mwezi Julai 2021.

Hayo yamesemwa leo tarehe 05 Mei, 2021 na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dkt. Maulidi Banyani, kwenye ziara ya kukagua na kutembelea maeneo zinapojengwa nyumba hizo Chamwino na Iyumbu, amesema mradi huu unajengwa katika awamu tatu, awamu ya kwanza zinajengwa nyumba 400 ambapo nyumba 300 zitakuwa Iyumbu na Chamwino nyumba 100, awamu ya pili itahusisha nyumba 325 na awamu ya tatu nyumba 275.

Adha, Dkt. Banyani amesema nyumba 100 zinajengwa kwa mtindo wa ghorofa wilayani Chamwino na zitapangishwa kwa wananchi na taasisi mbalimbali huku 300 zinazojengwa Iyumbu ni kwa ajili ya kuuzwa.

Akifafanua zaidi Dkt. Banyani amesema mradi huu unajengwa kwa msaada wa Serikali ambayo ililikopesha Shirika mkopo nafuu wa Sh. Bilioni 20 na Shirika likatoa Sh. Bilioni 1.4 na kufanya jumla ya gharama ya mradi huo kufikia Sh. Bilioni 21.4.

Amesema mradi wa nyumba za Chamwino umefikia zaidi ya asilimia 35 na mradi wa Iyumbu wa nyumba 300 umefikia asilimia 40, miradi hii inatarajiwa kufikia mwezi Juni shirika litaanza mchakato wa mauzo.

Akizungumzia bei, amesema kuwa nyumba 300 za Iyumbu zitauzwa bei fedha taslimu ama kwa makubaliano na mabenki kwa gharama ya kati ya Sh Milioni 50 - 99 kutegemeana na ukubwa wa nyumba na eneo huku pia kukiwa na maeneo ya mapumziko, biashara, viwanja vya michezo, maduka, shule na makao makuu ya shiriko hilo. Lengo ikiwa ni kuanza kutumia ifikapo mwezi Julai mwaka huu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Uhandisi na Ujenzi wa NHC, Haikamen Mlekio amesema kuwa kampuni imejiongeza katika maeneo yote mawili Chamwino na Iyumbu kwa kununua mashine 17 za kutengeneza matofali ambazo zimeajiri vijana 60 ambao wana uwezo wa kutengeneza matofali 20,000 kwa siku, kitendo hicho kimeimarisha ubora wa matofali wanayotumia na kupunguza gharama ununuzi kutoka kwa watu binafsi.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.