• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

NZUGUNI KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI

Imewekwa tarehe: November 28th, 2023

WANANCHI na wakazi wa Eneo la Nzuguni wanaelekea kupata afueni ya changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji baada ya kukamilika kwa mradi Mkubwa wa Maji unaotekelezwa kwa fedha za Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 4.8 unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi Januari 2024. Mradi huo una lengo la kuongeza kiasi cha maji yanayosambazwa kwa wananchi kwa asilimia 11.7

Hayo yalibainishwa wakati Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule alipotembelea mradi huo wa maji kujionea hatua iliyofikiwa Senyamule ameshuhudia ujenzi wa tanki kubwa la kuhifadhia na kusambazia maji lenye ujazo wa Lita Milioni 3 likiwa na urefu wa mita 300 pamoja na uchimbaji wa visima virefu Hadi mita 300 kwenda chini ya ardhi.

"Leo tunashuhudia matokeo ya Matumaini yetu ya siku nyingi ya kuwa siku moja tutapata maji kwenye eneo hili na maeneo ya jirani. Nilikua natamani sana maji yapatikane Dodoma kwa hadhi ya makao makuu. Jambo hili limekua la kihistoria kwa Dodoma. Wananchi, tuendelee kuweka Imani kwa Serikali yetu kwani Ina Imani kubwa ya kumaliza tatizo la maji kwa Dodoma.

"Nitoe shime kwa wananchi, muwe na matumizi sahihi ya maji yanayoendana na utunzaji wa mazingira. Maji haya yatumike kwa matumizi ya nyumbani na kumwagilia miti pia kwani tunaendelea na mkakati wetu maalumu wa upandaji miti mitano kwa kila kaya" Alisisitiza Senyamule.

Sambamba na hilo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri, amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza kwenye miradi mikubwa Jijini Dodoma ikiwemo Mradi huo kwani kumekuwa na changamoto ya Maji katika Jiji hilo la Makao makuu ya Serikali ya Tanzania.

Alisema mradi huo uelekeze matumizi kwa wananchi na pia kama inavyofanyika katika utekelezaji wa miradi ya maji safi basi pia ifanyike kwenye miradi ya maji taka ili kuwaondolea adha wananchi katika makazi na maeneo yao.

Kadhalika akitoa Maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi huo, Mkurungenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph, amesema hadi Sasa mradi wa ujenzi wa tanki kubwa la ujazo wa Lita Milioni 3.5, umefikia 96%

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.