• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Ofisi ya Makamu wa Rais yazindua mradi wa kupunguza uzalishaji wa gesijoto

Imewekwa tarehe: August 28th, 2024

SERIKALI  kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezindua Mradi wa Kuandaa Mkakati wa Taifa wa muda mrefu wa kupunguza Uzalishaji wa Gesijoto ambao utasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mradi huo utakaotekelezwa nchini Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja utasaidia kujenga uwezo wa nchi katika kukabiliana na ongezeko la joto hadi kufikia chini ya nyuzijoto 15.

Akizungumza wakati wa kikao cha uzinduzi wa mradi huo jijini Dodoma , Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi amesema mkakati huo unatarajiwa kuandaliwa ni muhimu kujumuisha mambo muhimu ya kitaifa.

Amewataka wadau kutoka sekta mbalimbali zinazoshiriki katika maandalizi yake kuongeza ufanisi wa nishati zinazotumiwa na jamii ambazo ni safi zisizochafua mazingira ambazo Tanzania imejiwekea lengo kuwa asilimia 80 wananchi watatumia nishati safi ifikapo mwaka 2030.


Halikadhalika, Naibu Katibu Mkuu Mitawi amesema nishati inayotumika viwandani nayo inapaswa kuangaliwa kwani inaposambaa angani husababisha ongezeko la joto ambalo ni chanzo cha mabadiliko ya tabianchi.


Ameongeza kuwa kwa vile eneo la usafiri linaweza kusadia katika kupunguza gesi joto ambalo ambapo kwa sasa tayari Serikali imeanzisha mradi wa reli ya kisasa (SGR) na mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) hivyo kuwe na mkakati wa kuitekeleza katika maeneo mengine ya nchi.


Amesema ni wakati sasa mkakati huo ujumuishe namna ya kufanya biashara ya kaboni na fursa zake pamoja na upandaji wa miti na kuitunza huku akipongeza Zanzibar kwa kuja na kampeni ya kukijanisha visiwa hivyo.


Awali akizungumza, Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Catherine Bamwenzaki amesema lengo la mradi huo kuandaa mkakati wa kukabiliana na gesijoto kulingana na kifungu cha 4 (19) cha Makubaliano ya Paris kinachotoa masharti kwa Wanachama kuunda na kuwasiliana Mikakati ya Muda Mrefu ya Uzalishaji wa Uzalishaji wa gesi chafu, kwa kuzingatia Kifungu cha 2.


Pia, amesema kikao hicho kilichowakutanisha washiriki 50 kutoka sekta mbalimbali za Serikali na binafsi kimelenga kutoa taarifa kwa wadau kuhusu namna ya kutekeleza mradi huo ulioandaliwa katika kipindi cha miaka mitatu kabla ya kuanza utekelezaji wake


Naye Bi. Viktoria Dimitrova, kutoka Asasi ya 2050 Pathways Platform amesema mbali ya Tanzania pia ni nchi zilizonufaika ni pamoja na Pakstan, Rwanda, Jamaica na Senegal.


Amesema katika utekelezaji wa miradi hii ni muhimu kushirikiana na Serikali katika kuandaa mipango madhubuti ya muda mrefu katika kukabiliana na gesijoto.


Mradi huo unaoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, ufadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia taasisi yake ya Internation Climate Initiative (IKI) na kusimamiwa na Asasi ya 2050 Pathways Platfo

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.