WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa anaendelea na ziara yake ya kikazi nchini Korea ambapo ameambatana na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma, Meshack Bandawe ambapo amefanya mazungumzo na Msimamizi wa Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bwana Lee Sang Rae wakati walipotembelea mji huo kwenye eneo la Sejong leo Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidia kuboresha ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali jijini Dodoma katika eneo la Mtumba.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.