Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza Watanzania (wakiwemo wananchi wa Jiji la Dodoma) kwa kuitikia wito wa Serikali wa kuacha kutumia mifuko ya plastiki ambayo ina madhara makubwa katika mazingira na viumbe hai wakiwemo binadamu.
Kusoma taarifa hii kwa kina bofya hapa:- Pongezi za Mhe Rais kwa Watanzania
Chanzo: Ofisi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.