Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amemteua Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa imesema kuwa Mafuru anachukua nafasi ya Godwin Emmanuel Kunambi.
Kabla ya uteuzi huo, Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa uteuzi wa Mafuru unaanza tarehe 19 Agosti, 2020.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.