• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia apiga simu katikati ya sherehe kuipongeza Twiga Stars

Imewekwa tarehe: October 12th, 2021

Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga simu usiku katikati ya hafla ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi na kuipongeza Timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars) leo Oktoba 12, 2021 na kutaka timu zote ziendelee kufanya vizuri ili kuitangaza Tanzania  kimataifa.

Mhe. Rais amesema timu ya Twiga Stars imeliheshimisha  Taifa  na kwamba amekuwa akifuatilia  kwa karibu timu hiyo.

"Nafuatilia hafla hii na nimemuagiza Katibu aendelee na mimi nikirejea nitawaita". Amefafanua Mhe. Samia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo amemhakikishia Mhe. Rais kuwa Wizara itaendelea kuboresha Michezo nchini na kwamba huu ni mwanzo wa kuelekea katika mashindano ya Dunia.

Amesema anaamini kuwa pia Timu ya Taifa ya Wanawake ya mpira wa Miguu ya U20 ya Tanzanite ambayo ipo kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia itafanya vizuri kama yalivyo madini ya thamani ya Tanzanite.

Aidha, amesema katika kipindi hiki Serikali imeweka miundombinu ya kusaidia michezo ambapo amesema kiasi cha shilingi bilioni 1.5 zimetengwa.

Katika hafla hiyo Wizara ya Sanaa, Utamaduni imetoa zaidi ya shilingi milioni 40 kwa ajili ya timu ya Twiga Stars (20m), Washindi wa mashindano ya Miss and Mr Deaf Africa 2021 waliofuzu kwenda mashindano ya Dunia (6m), Timu ya Tanzanite (10 m) na timu ya kriketi iliyoshinda nafasi ya tatu Bara la Afrika (5m) pia Makatibu wakuu wametoa 3m

Hafla hiyo imepambwa na  wasanii mbalimbali wa kizazi kipya ambapo wamekonga mioyo ya watu na wadau mbalimbali wa Michezo waliohudhuria hafla hiyo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.