• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia apongezwa kwa kuleta suluhu Tanzania

Imewekwa tarehe: November 14th, 2022

RAIS Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujadili itikadi zao, dini au jinsia katika kuiongoza Tanzania.

Hayo yalisemwa na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo maarufu kama Lady Jay D wakati wa tamasha lake maalumu mwishoni mwa wiki la kumpongeza na kumuunga mkono

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake za kuijenga Tanzania mpya inayojali uhuru wa watu, demokrasia na usawa pamoja na haki za binadamu.

"Mimi na mwenzangu Rama D tumeandaa wimbo huu na kuzindua kampeni ya “nasimama na Mama Samia” katika kuleta suluhu Tanzania ili kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo bila kujali itikadi zao, imani zao na kuhakikisha kuna uhuru wa kweli na demokrasia nchini" alisema Lady JD.

Akizungumza katika Tamasha hilo, Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Nnauye alisema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anaongozwa na mambo manne makuu katika kusimamia maendeleo ya nchi na Watanzania kwa ujumla ambayo ni MARIDHIANO, USTAHIMILIVU, MAGEUZI, KUJENGA UPYA TANZANIA (Reconsiliation, Resiliency, Reforms na Rebuilding The Nation.)

Akizungumzia Maridhiano Mheshimiwa nape alisema Rais Samia anawaleta Watanzania pamoja bila kujali tofauti zao za kisiasa na kuhakikisha utawala wa sheria, usawa na
kutobaguliwa, na fursa sawa kwa wananchi wote kujiendeleza kibinafsi, jamii na taifa kwa ujumla zinafanyika. 

Pia alisema Mheshimiwa Rais katika utawala wake anahakikisha kuwa kila mtu anafurahia haki zake za msingi na kutekeleza majukumu yake kwa uhuru kwa mujibu wa sheria bila kubughudhiwa na chochote na kwa uhuru.

Akizungumzia nguzo ya pili ya Ustahimilivu Mheshimiwa Nape alisema Rais Samia anaamini katika ustahimilivu kwa kuhakikisha raia wote wa tanzania wanapatanishwa na wanapaswa kupona kutokana na shida yoyote iliyokuwepo huko nyuma katika awamu zote za uongozi wa nchi yetu na kusonga mbele katika kuijenga Tanzania ya kesho. 

Aliongeza kuwa watanzania wote wanapaswa kukabiliana na changamoto za maendeleo kama taifa katika umoja na mshikamano na uhakikisha nchi inasonga mbele kwa kujiamini.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.