• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia awaagiza Makatibu Tawala kuzingatia sheria

Imewekwa tarehe: June 3rd, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa kwenda kufanya kazi zao kwa kuzingatia Sheria kwa kusimamia haki kwa kutatua kero za wananchi.

Rais Samia  ametoa maagizo hayo June 2, 2021 Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma mara baada ya kuwaapisha Makatibu  Tawala wa Mikoa pamoja na wakuu mbalimbali wa Taasisi akiwemo Kamishina wa Makosa ya jinai nchini DCI pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe.George  Mkuchika 

Aidha amewataka kwenda kufanya kazi  kwani Majukumu yaliyo mbele yao  ni makubwa wao pia  ni Makatibu wa Kamati za usalama za Mikoa hivyo wanatakiwa  kuwashauri wakuu .

“Nimewateua sio kuwa mkawe ndio kikwazo Cha kukwamisha maendeleo au kulumbana nyie kwa nyie hapana Nchi hii itajengwa na mtanzania yeyote bila kuangalia katoka wapi sasa mkuu wa mkoa wa Iringa najua utakuwa nakazi kubwa lakini nikutoe hofu nenda kachape kazi,”amesema Rais Samia

Hata hivyo amesema kuwa hatavumilia viongozi wanaodhulumu mali za wananchi ikiwemo kujimilikisha ardhi na kuwapola wananchi maeneo yao kwa nguvu. 

“Kuna baadhi ya viongozi walifika katika maeneo yao yakazi wao ndio wanakuwa wakwanza kujimilikisha ardhi badala ya kutatua migogoro sasa sitalifumbua macho Hilo swala hata kidogo,”amesema Rais  Samia.

Pia amekemea  tabia ya uonevu makazini kuanzia ngazi za mikoa na kuagiza hali hiyo iachwe Mara moja kwani Sheria za kazi haziruhusu vitendo vya uonevu makazini wafanyakazi wote wanalengo moja la kuwatimikia wananchi na kuleta maendeleo nchini.

Mhe Rais Sami amewaagiza wakafanye ubunifu wa vyanzo vya mapato yake ya ndani na kutengeneza fursa kwa wawekezaji zaidi kuwekeza nakuachia kuwasumbua katika kupata vibali na maeneo kama yapo wapewe kwa haraka ili uchumi wa nchi ukue.

“Kazi yenu kubwa ni kusimamia vizuri mapato ya Serikali nakuongeza mbinu za kuongeza wawekezaji ili kuhakikisha Pato la Taifa  linaongezeka na si vinginevyo,”ameongeza Rais.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.