• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia azitaka NGOs kuongeza uwazi na uwajibikaji

Imewekwa tarehe: September 30th, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuongeza uwazi na uwajibikaji kati kazi zao pamoja na kwenda sambamba na vipaumbele na mipango ya Serikali ili ziweze kulea tija katika jamii.

Mhe. Rais Samia amesema hay oleo tarehe 30 Septemba, 2021 wakati akihutubia katika Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Mhe. Rais Samia amesema kwa sasa Serikali inatekeleza Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2021/2026) hivyo ni vyema Mashirika hayo kuandaa mipango yake kwa kuoanisha na mpango huo wa Serikali.

Aidha, Mhe. Rais Samia ameyataka Mashirika hayo Yasiyo ya Kiserikali hususan ya ndani pamoja na Wizara husika kuandaa mpango mkakati utakaosaidia Mashirika hayo kuondokana na utegemezi katika utendaji wa kazi zao.

Mhe. Rais Samia ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kufanya kazi zinazoendana na mila, utamaduni, desturi na maadili ya kitanzania pamoja na kusimamia sharia zinazoongoza Mashiriika hayo.

Vilevile, Mhe. Rais Samia ameyaomba Mashirika hayo kufanya kazi pamoja na Serikali katika kuwaelimisha wananchi kuhusu kushiriki zoezo la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika Agosti 2022, na kuwapa wananchi elimu ya tahadhari za kujikinga na UVIKO 19.

Katika Mkutano huo, Mhe. Rais Samia amezindua Taarifa ya mchango wa Mashirika hayo Yasiyo ya Kiserikali katika maendeleo ya Taifa.

Wakati huo huo, Mhe. Rais Samia, ameongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha.

Shughuli za kuaga mwili wa Marehemu Ole Nasha zimefanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai, Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo, Mawaziri na Manaibu Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi wengine wa vyama vya Siasa na Serikali.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.