• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

RC Mtaka aipa RUWASA miezi mitatu

Imewekwa tarehe: August 23rd, 2021

MKUU  wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa muda wa miezi mitatu kwa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miradi ya  maji mkoani Dodoma.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa hafla ya kupokea mabomba kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa malipo kwa matokea awamu ya nne Kimkoa.

RC Mtaka amewataka RUWASA kuhakikisha wanauwaunganishia maji wananchi wa maeneo  yote yaliyopo kwenye mpango huo ndani ya muda wa miezi mitatu vinginevyo watawajibishwa kisheria .

“Takukuru wapo hapa na Jeshi la Polisi wapo hapa, Sisi tumealikwa kwa nia njema kabisa kuja kushuhudia kazi hii nzuri, sasa baada ya miezi mitatu hawa ambao umewakaribisha kuja kushuhudia hafla hii watageuka sasa kuanza kuwashughulikia ninyi kama mkishindwa, sijui kama ninaeleweka,” amesema Mtaka.


Hata hivyo ameeleza kuwa lengo la kutoa vifaa hivyo ni kuondoa tatizo la maji maeneo hayo ambalo limekuwa la muda mrefu hivyo nia njema hiyo isiharibiwe na watendaji  wachache wazembe .

Aidha ameielekeza RUWASA kuhakikisha vifaa vyote vilivyotolewa kwa ajili ya mradi huo kupelekwa Wilaya husika pamoja na  Vijijji kuhakikisha  haraka  ili  kuwafikishia walengwa huduma hiyo ya maji .

Awali akitoa taarifa  ya utekelezaji wa maradi huo Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Dodoma, Dk. Godfrey Mbabaye amesema kuwa mambomba hayo yana urefu wa mita 35,232  yenye vipenyo mbalimbali.

Dk. Mbabaye amesema kuwa mabomba hayo yatagawiwa katika wilaya zote saba za Mkoa wa huo ambapo Kongwa mita 7,100, Bahi mita 600, Chemba mita 2,550, Mpwapwa mita 4,691, Kondoa mita 7,500, Chwamwino mita 5,581 na Dodoma Jiji mita 7,210.

”Mpango huo utarejesha huduma ya maji  katika vituo 2,059 visivyotoa huduma hiyo katika wilaya hizo na utawanufaisha wananchi 1,324,255 sawa na asilimia 61.9 ya wakazi 2,139,450 waishio maeneo ya Vijijini katika Mkoa wa Dodoma”amesema Dk.Mbabaye

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema kuwa kuna baadhi ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na Wizara ya Maji kupitia mradi wa DDCA haikufanya vizuri kutokana na kushindwa kukamilishwa kwenyei jimbo lake.

”Kuna miradi 13 ya maji ambayo inatekelezwa Jijijni hapo lakini kuna baadhi imekwama kutokana na kukwamishwa na rasilimali fedha ambazo zilikuwa zikitolewa na wahusika wa utekelezajiwa mradi” amesema Mavunde.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.