• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rekodi mpya yawekwa Mlima Kilimanjaro

Imewekwa tarehe: September 20th, 2021
  • Watalii wacheza Mchezo wa Vikwazo Kreta
  • Wateremka hadi chini kwa kukimbia

KUNDI la watalii 45 kutoka mataifa 23 kote duniani limeweka rekodi mpya katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro kwa kufanya michezo ya kupita katika vikwazo kwenye eneo la kreta, pamoja na kushuka  kutoka katika kilele cha Uhuru kwa kukimbia.

Watalii wanamichezo hawa waliokuwa wakishiriki katika zoezi maalum la kuruka vikwazo kwenye maeneo yenye miinuko ya juu waligawanyika katika makundi makuu mawili kwenye zoezi hili lililochukua takribani siku tano.

Kundi la kwanza lilipanda Mlima Kilimanjaro kwa utaratibu wa kawaida hadi kilele cha Uhuru na kushuka chini kwa kukimbia na kufika katika eneo la Kreta walilolitumia kucheza michezo mbalimbali ya kuruka vikwazo.

Aidha, kundi la pili nalo lilipanda kwa utaratibu wa kawaida, na baada ya kufika kilele cha Uhuru walishuka chini hadi katika Lango la Mweka kwa kukimbia.

Michezo hii ambayo imefanyika kwa mara ya kwanza kwenye Mlima Kilimanjaro inafahamika duniani kama Altitude Obstacle Course Races  World Championships, ililenga  kuunganisha pamoja watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani kushiriki utalii wa michezo kwa pamoja ambayo pia ni mojawapo ya bidhaa za utalii zinazopatikana katika Hifadhi ya Kilimanjaro.

Waanzilishi wa michezo hiyo David  Pickles na Rob Edmond wamesema michezo ya mwaka huu imefanikiwa sana kwa kuwa Mlima Kilimanjaro unazo sifa zote za kimsingi za kuwezesha kutimia kwa malengo ya michezo hii. Wameamua kuwa litakuwa ni tukio la kila kwaka kwa Mlima Kilimanjaro ambapo watu kutoka mataifa yote duniani wataalikwa kushiriki.

Chanzo: Pascal Shelutete - SAC CC TANAPA



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.