• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali inathamini mchango wa sekta binafsi katika utoaji wa huduma za afya - Dkt. Dugange

Imewekwa tarehe: October 1st, 2024

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amekagua na kuzindua ukarabati wa Miundombinu kisha kufungua Hospitali ya Shunga Misheni iliyopandishwa hadhi kuwa hospitali katika halmashauri ya Wikaya Kasulu mkoani Kigoma Leo Septemba 26, 2024.

Akizungumza mara baada ya kukagua Majengo ya Hospitali hiyo, Mhe. Dkt. Dugange ambaye amemuwakilisha Waziri Mkuu Kasim Majaliwa kwenye ufunguzi huo, amesema serikali inathamini kwa kiasi kikubwa ushiriki wa taasisi binafsi katika kutoa huduma za Afya hivyo ofisi yake itaendelea kuziunga mkono taasisi hizo ili kuendelea kusogeza huduma za uhakika za kiafya kwa wananchi.

Amewahimiza wakazi mkoani Kigoma na Tanzania kwa ujumla kufika kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya wanapopata maradhi ili kupima na kufahamu sababu za kuugua badala ya kujielekeza kwenye tiba

Asili.

“Serikali na wadau wa maendeleo wamekuwa wakitumia mabilioni ya fedha kuwekeza kwenye sekta ya Afya, hivyo niwahamasishe nyote kuendelea kutumia na kunufaika na huduma za Afya kuendana na maelekezo ya wataalam wetu” amesema Dkt. Dugange.

Aidha Naibu waziri amezitaka taasisi zisizo za kiserikali zinazotoa huduma za kiafya kuajiri wataalam wenye sifa sambamba na kufanya kazi kwa kuzingatia miongozo ya utoaji wa Huduma za Afya inayotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Ukarabati wa Hospitali hiyo umetekelezwa kwa gharama ya Sh Bil.2.4, Fedha kutoka kwa wafadhili Taasisi za kidini Readycharity ya Austria, Alliance Mission pamoja na marafiki wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Magharibi ya Tanganyika Mkoani Kigoma kutoka nchini ujerumani.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma atoa pongezi kwa Madiwani

    May 25, 2025
  • Mkopo wa 10% tija kwa maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

    May 23, 2025
  • Mkopo wa 10% tija kwa maendeleo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu

    May 23, 2025
  • Wananchi Kata ya Madukani washukuru kuboreshwa huduma za Afya, Zahanati ya Chikande

    May 21, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.