• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali kuendelea kusimamia Haki za watu wenye Ulemavu- Katambi

Imewekwa tarehe: October 20th, 2022

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi, amesema katika kuhakikisha Wanawake na Wasichana wenye Ulemavu wanaendelea kupata haki zao stahiki.

Katambi amesema Serikali inaendelea kusimamia na kuratibu utekelezaji wa Sheria ya Watu wenye Ulemavu Na. 9 ya mwaka 2010 pamoja na kusimamia kikamilifu suala la upatikanaji wa ajira kwa Watu wenye Ulemavu.

Amesema kifungu cha 31 cha Sheria hiyo ya Watu wenye Ulemavu inamtaka kila Mwajiri anayeajiri kuanzia watu 20, kuhakikisha 3% ya waajiriwa wake ni Watu wenye Ulemavu ambapo Ofisi ya Rais TAMISEMI katika Ajira zake za kada mbalimbali hapa nchini imezingatia sheria hiyo.

Ameyasema hayo Leo Oktoba 20, 2022, wakati akizindua Mpangokazi wa Jukwaa la Wanawake na Wasichana wenye Ulemavu linaloratibiwa na Shirika la Kimataifa la ADD Programu ya Tanzania wenye lengo la kuwa na sauti moja ya kuondoa ukatili, kuvunja ukimya na kuendeleza upendo, hafla hiyo iliambatana na ugawaji wa vitendea kazi vya ofisi.

Amesema Wanawake na Wasichana wenye Ulemavu katika Jamii kama walivyo Wanawake wengine, wamekuwa wakikabiliwa na ubaguzi kutokana na unyanyapaa ambao unahusishwa na jinsia pamoja na Ulemavu hali ambayo imesababisha kuwepo kwa imani potofu na mitizamo hasi ambayo inapelekea kutoyapa kipaumbele masuala yanayowahusu.

"Serikali imekuwa ikiwaangalia kwa jicho la pekee, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kuanzia mwaka 2000 imekuwa ikitekeleza mipango ya kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake wakiwemo Wanawake wenye Ulemavu ikiwa ni jitihada za kuleta usawa katika jamii”

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika la ADD International Programu ya Tanzania Bi. Rose Tesha amesema Shirika hilo linatekeleza mradi wa Haki, Usawa na Ujumuishwaji.

"Serikali imekuwa ikiwaangalia kwa jicho la pekee, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kuanzia mwaka 2000
imekuwa ikitekeleza mipango ya kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake wakiwemo Wanawake wenye Ulemavu ikiwa ni jitihada za kuleta usawa katika jamii".

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika la ADD International Programu ya Tanzania Bi. Rose Tesha amesema Shirika hilo linatekeleza mradi wa Haki, Usawa na Ujumuishwaji wa
Wanawake na Wasichana wenye Ulemavu.
Mpango huo unalenga kuhakikisha kuwa Watu wenye Ulemavu wanapewa haki zao na kujumuishwa katika mipango ya Maendeleo na kuwajengea uwezo Wanawake na Wasichana
wenye Ulemavu ili waweze kuishi kwenye mazingira yasiyokuwa na unyanyasaji na unyanyapaa na kushiriki shughuli za uchumi.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.