• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali kuongeza wigo upatikanaji masoko ya mazao ya kilimo - Mavunde

Imewekwa tarehe: September 26th, 2022

NAIBU WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde (Mb) asisitiza jijini Dodoma kuwa Serikali inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuongeza wigo na upatikanaji wa masoko ya mazao ya kilimo nchini. Mhe. Mavunde aliyasema hayo katika ukumbi wa St. Gasper Jijini Dodoma alipokuwa akizindua Mradi wa Kuimarisha Huduma za Afya ya Mimea na Usalama wa Chakula nchini unaotekekelezwa na Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) chini ya ufadhili wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU).

“Mradi huu umekuja wakati sahihi kwani Serikali kupitia Wizara ya kilimo imejiwekea kipaumbele cha kukuza mauzo ya mazao nje kutoka Dola za Marekani Bilioni 1.2 za sasa hadi Dola Bilioni 5 ifikapo 2030,” alisisitiza Mhe Mavunde.

Sanjari na hilo, Mavunde alieleza kuwa utekelezaji wa Mradi huu pia unaakisi na kuongeza shime katika kufikia vipaumbele vya nchi katika sekta ya kilimo hususani kuhakikisha ukuaji wa sekta ya kilimo unafikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2030, hatua ambayo itafikiwa kwa utekelezaji wa mikakati mbalimbali moja ikiwa ni mradi huu.

"Naipongeza sana Mamlaka yetu ya TPHPA kwa kupata Ithibati ya Kimataifa, ambapo sasa ikitoa cheti kwenye bidhaa yeyote kinatambulika dunia nzima, hii ni hatua kubwa sana. Ni matumaini ya Serikali kuwa Mradi huu unaenda kuchagiza maendeleo zaidi na kurahisisha biashara ya mazao nje ya nchi," aliongeza Mhe. Mavunde.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa TPHPA, Dkt. Efrem Njau alieleza kuwa, Mradi huo wenye thamani ya EURO Milioni 10.1 utatekelezwa kwa miaka mitatu na nusu, na unataraji kuleta tija mbalimbali ikiwemo kuimarisha mfumo maalum wa udhibiti wa bidhaa zinazoingia na kutoka nje, kuwajengea uwezo wataalam wa afya ya mimea, kujenga, kukarabati na kuweka vifaa kwenye maabara za TPHPA na kuimarisha mfumo wa kufanya ‘savei’ mashambani na kuweka mfumo wa kidijitali wa kukusanya takwimu za visumbufu vya mimea.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.