• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yaitaja zabibu zao la kimkakati

Imewekwa tarehe: August 16th, 2021

WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa Serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma.

Kutokana na hatua hiyo, zabibu itajumuishwa katika mazao makuu ya kimkakati nchini ambayo ni pamba, kahawa, chai na korosho.

Waziri Mkuu Majaliwa aliyasema hayo Ijumaa Agosti 13, 2021, katika  ziara yake fupi ya kutembelea mashamba ya wakulima na kiwanda kidogo cha kusindika mvinyo cha Ushirika wa Wakulima wa Zabibu (UWAZAMAM), katika kata ya Matumbulu jijini humo.

Akizungumza na wakulima hao, Waziri Mkuu Majaliwa aliwahakikishia mpango wa Serikali kuliinua zao la zabibu ikijumuisha uboreshaji wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo (Tari Makutupora) kuongeza maofisa ugani waliojengewa uwezo zaidi, utafiti wa mbegu bora na kutafuta uhakika wa masoko ya zabibu ili kumnufaisha mkulima.

“Serikali itahakikisha zao la zabibu linaleta tija kwa mkulima wa Dodoma kwa kuliwekea miundombinu mbalimbali na hivyo kusaidia kukua kwake, tumewaomba  TARI kuzalisha miche yenye ubora na ya aina mbalimbali ya zabibu ikiwemo zabibu za mezani ili Watanzania waache kutumia zabibu  zinazoingizwa nchini kutoka nje ya nchi zilizojaa katika maduka na masoko mengi makubwa" alisema.

Aliongeza "Kwa hivi sasa hili zao ni la kimkakati na lengo letu kuu ni kuongeza uzalishaji na kulima kwa tija ili tuiingize Tanzania kwenye ramani ya dunia ya wazalishaji wa zabibu bora na zenye kiwango," alisema Waziri Mkuu Majaliwa.

Awali, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe aliwahakikishia wakulima hao dhamira ya Serikali katika kukiinua kilimo cha zao la zabibu huku akibainisha moja kati ya mkakati uliopo wa kuongeza kodi katika mvinyo unaoingizwa nchini ili kulinda viwanda vya ndani.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Dodoma, Mhe. Anthony Mavunde, aliishukuru Serikali kwa namna inavyolipa kipaumbele zao la zabibu jambo ambalo litaongeza ari kwa wakulima kuzalisha zaidi na kwa tija.

Aidha, alitumia nafasi hiyo kuziomba taasisi za Fedha kusaidia kuwawezesha mitaji ya ununuzi wa mashine za kuchakata zabibu ili wakulima hao waongeze thamani ya zao la zabibu.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.