• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yatoa posho ya madaraka, ufanisi waongezeka

Imewekwa tarehe: August 5th, 2020

SERIKALI ya awamu ya tano imewawezesha Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule na Waratibu Elimu Kata fedha na usafiri ili waweze kusimamia vizuri utoaji wa elimu katika maeneo yao.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Selemani Jafo jana tarehe 4 Agosti, wakati akielezea mafanikio ya sekta ya elimu katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais, Dkt. John Magufuli tukio lililofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Dodoma.

Waziri Jafo amesema “walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu wa elimu Kata zamani walilipwa mshahara kama mshahara wa kwake yeye na haukuwa na tofauti na mwalimu mwingine. Hapakuwa na suala la fedha ya usimamizi kama mwalimu mkuu na mratibu wa elimu Kata. Mheshimiwa Rais akasema hapana, akatoa kitu kinaitwa posho ya madaraka. Leo hii mwalimu mkuu wa shule ya msingi na mkuu wa shule ya sekondari na mratibu elimu Kata wanapata ‘responsibility allawance’ kitu ambacho hakikuwepo awali”.

Waziri huyo amesema kuwa posho hiyo imewawezesha walimu hao kuweza kusimamia vizuri zaidi elimu katika maeneo yao ya kazi.

Akiongelea changamoto ya usafiri iliyokuwa ikiwakabili waratibu wa elimu Kata, Waziri Jafo amesema kuwa Rais aliamua kununua pikipiki kwa ajili ya kuwawesha kutekeleza majukumu yao. “Kwa waratibu wa elimu Kata kwenda kufanya ufuatiliaji ilikuwa kazi kubwa kutokana na kuwa na eneo kubwa la kufanya kazi bila usafiri. Mheshimiwa Rais ameamua kununua pikipiki 3,909 kwa waratibu elimu Kata nchi nzima. Leo mratibu kata anakagua shule yake moja na kwenda shule nyingine. Leo hii mratibu elimu Kata ana pikipiki yake nzuri, ana posho yake ya madaraka, mambo siyo mabaya” amesema Waziri Jafo.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.